From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kujieleza
expression
Last Update: 2024-12-02
Usage Frequency: 1
Quality:
siwezi kujieleza
i can't complain
Last Update: 2024-12-19
Usage Frequency: 1
Quality:
uhuru wa kujieleza
freedom of speech
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati kwa watu kujieleza kwa
a time for people to express themselves
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunaamini katika upati huru wa nyenzo za kujieleza.
we believe in universal access to the tools of speech.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ana jicho zuri la kujieleza na mitizamo mizuri ya kueleza.
she has such an eye for self-expression and such cool views to share.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ethiopia ni nchi ambayo uhuru wa kujieleza unaminywa na serikali.
ethiopia is a country where freedom of expression is repressed by the government.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
abel aliwauliza majaji ni kwa nini hawakutoa ruhusa kwa washitakiwa kujieleza.
abel questioned the judges for not letting the detainees speak.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
italia: hapana kwa vikwazo dhidi ya uhuru wa kujieleza wa mtandaoni
italy: no to restrictions on online free speech · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
serikali ya tunisia: mashambulizi dhidi ya uhuru wa kujieleza na wa habari
government: attacks at the freedom of speech and information of its
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kujifunika ndani ya burka, mwanamke huiacha haki yake ya kujieleza kama mwanamke.
by covering herself in a burka, a woman is relinquishing the right to express herself as a female.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama mapendekezo yetu yatakataliwa, wale watakaoyakataa na itawabidi kujieleza wenyewe mbele ya wananchi wao.
if our proposals are rejected, those who reject them will have to justify themselves before their citizens.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haki ya binadamu ya kimataifa ya uhuru wa kujieleza ndiyo kipau mbele chetu katika dira yetu.
the universal human right to free expression is fundamental to our mission.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa ripoti, amerika ya kusini iko katika wakati muhimu kwa uhuru wa kujieleza.
according to the report, latin america is going through a crucial moment for freedom of expression.
Last Update: 2023-08-27
Usage Frequency: 1
Quality:
ninatumia haki zangu za kujieleza ipasavyo bila la kuingilia haki za wengine, na hili ninataka kulionesha popote pale.
i use my free speech rights responsibly without hindering other peoples’ rights and i want to practice it everywhere.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hali hii ndiyo inayozifanya habari zinazokuja kutoka mahali popote ambapo haki ya kujieleza imebanwa kuwa na uthamani wa pekee.
this makes the stories that do come from anywhere free speech is frowned on even more precious.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo la kinyume ni kuwa, anapenda kuonekana kama mtu mwenye mawazo huru na mpiganiaji wa uhuru wa habari na wa kujieleza.
the irony is, he would like to be seen as liberal and the fighter of press freedom and freedom of speech.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mara baada ya kukamatwa kwake mwaka 2008, wanaharakati wa uhuru wa kujieleza wa mtandaoni walianzisha blogu ya kudai hoder aachiewe huru.
a free hoder blog was created by online free speech activists shortly after his arrest in 2008.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sababu inayomfanya abel aendelee kutumia haki yake ya msingi ya uhuru wa kujieleza ni kwa kuwa ni haki ya msingi ambayo inaweza kutumiwa kila mahali na kwa kila hali.
the reason abel keeps using his freedom of expression is because it is a basic right that can be exercised everywhere in every situation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"kama kuna yeyote anayetakiwa kuelewa thamani ya uhuru wa kujieleza, naibu mkurugenzi wa mawasiliano na utetezi kule licadho ndiye anayepaswa kuwa.
"if anyone should understand the value of free speech, the deputy director of communication and advocacy at licadho seems a likely candidate.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting