Results for kujikomboa kiroho translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kujikomboa kiroho

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kujikomboa kiuchumi

English

disciplined

Last Update: 2022-06-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ushirika wa kiroho

English

spiritual communion

Last Update: 2020-05-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kunyanyaswa kiroho in english

English

bullying in english

Last Update: 2025-01-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa roho.

English

that which is born of the flesh is flesh; and that which is born of the spirit is spirit.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vipaji vya kiroho ni vya namna nyingi, lakini roho avitoaye ni mmoja.

English

now there are diversities of gifts, but the same spirit.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama kiongozi wa kiroho anayewakilisha matumaini, hatakiwi kutuambia tuendelee kungoja na kutumaini.

English

as a spiritual leader who represents hope, he must not only tell us to just keep waiting and hoping.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuanza leo kuchimba kwa vito vya kiroho ningependa kuwa na msomaji wa 1 sura ya 1 ya aya ya saba na ya nane

English

to begin tonight's digging for spiritual gems i would like to have a reader for first john chapter two verses seven and eight

Last Update: 2019-11-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi ya nyimbo zake zimeelekezwa kwa wviongozi wa kiroho ikiwa ni pamoja na dalai lama na karmapa.

English

some of his songs are dedicated to spiritual leaders including the dalai lama and karmapa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida kisha ule mwili wa kiroho.

English

howbeit that was not first which is spiritual, but that which is natural; and afterward that which is spiritual.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunajua kwamba sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kidunia, mimi nimeuzwa kuwa mtumwa wa dhambi.

English

for we know that the law is spiritual: but i am carnal, sold under sin.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kusudi la karama za kiroho ni kumtukuza mungu kueneza injili ili kuwatia moyo waumini wengine na kuwaimarisha ili kuwatia moyo waumini wawe na ukomavu katika imani

English

the purpose of spiritual gifts are to glorify god spread the gospel to encourage other believers and strengthen them to encourage believers to have maturity in faith

Last Update: 2025-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

zaidi ya hayo sisi tunawaheshimu wazazi wetu waliotuzaa hata wanapotuadhibu. basi, tunapaswa kumtii zaidi baba yetu wa kiroho ili tupate kuishi.

English

furthermore we have had fathers of our flesh which corrected us, and we gave them reverence: shall we not much rather be in subjection unto the father of spirits, and live?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakanywa pia kinywaji kilekile cha kiroho, maana walikunywa kutoka ule mwamba wa kiroho uliowafuata; mwamba huo ulikuwa kristo mwenyewe.

English

and did all drink the same spiritual drink: for they drank of that spiritual rock that followed them: and that rock was christ.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na lau kuwa walio dhulumu wangeli kuwa na vyote viliomo duniani na pamoja navyo vingine kama hivyo, bila ya shaka wangeli vitoa kujikomboa katika adhabu mbaya hiyo siku ya kiyama.

English

and if those who did wrong had all that is in the earth entirely and the like of it with it, they would [attempt to] ransom themselves thereby from the worst of the punishment on the day of resurrection.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwaka 2012, baada ya kuzindua albamu yake iliyokuwa inaonyesha maumivu ya kutengenana na kiongozi wake wa kiroho na shauku yake kubw aya umoja wa watibeti, alibaki kimya kwa muda mrefu.

English

back in 2012, after he released an album that expresses the pain of separation from his spiritual leader and a strong desire for tibetan unity, he disappeared for quite a lengthy period of time.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu hiyo, hao waliokufa ambao walikuwa wamehukumiwa katika maisha yao ya kimwili kama anavyohukumiwa kila mmoja, walihubiriwa habari njema kusudi katika maisha yao ya kiroho waishi kama aishivyo mungu.

English

for for this cause was the gospel preached also to them that are dead, that they might be judged according to men in the flesh, but live according to god in the spirit.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, wala si ya watawala wa dunia hii ambao wako katika mkumbo wa kupotea.

English

howbeit we speak wisdom among them that are perfect: yet not the wisdom of this world, nor of the princes of this world, that come to nought:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ujumbe wa kristo ukae ndani yenu pamoja na utajiri wake wote. fundishaneni na kushauriana kwa hekima yote. imbeni zaburi, nyimbo na tenzi za kiroho; mwimbieni mungu mioyoni mwenu kwa shukrani.

English

let the word of christ dwell in you richly in all wisdom; teaching and admonishing one another in psalms and hymns and spiritual songs, singing with grace in your hearts to the lord.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aloysius agendia, mwanahabari ambaye pia ni mseminari wa zamani katika makala aliyoipa kichwa cha ziara ya papa benedikti wa xvi afrika: zaidi ya kauli za kiroho inaonekana kwamba angependa kanisa lipinge vitendo vya dola na vya wanasiasa ambavyo vinaharibu maslahi ya umma badala ya kuvivika majoho ya kidiplomasia:

English

aloysius agendia, a journalist and ex-seminarian in a post entitled pope benedict xvi visit to africa : going beyond spiritual rhetoric seems to suggest that the church should denounce acts by states and politicains that harm the people's interest instead of being clothed in diplomatic robes:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,941,798,089 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK