Results for kujikuta translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kujikuta

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa hiyo, unaweza kujikuta umepigwa risasi wakati unatembea mtaani," anasema janowitz.

English

so you could be walking down the street and catch a bullet," says janowitz.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

msomaji mwingine ketudan aliona uwezekano wa mwanablogu huyo kujikuta katika hatari ya kujiunga na vikundi vya dini.

English

commenter ketudan considered the possibility that the blogger may be in danger of joining a cult.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengine ni idadi kubwa ya watu wanaoshabikia propaganda za vyombo vya habari na kujikuta wakisherehekea watu fulani badala ya nchi yenyewe.

English

the other is the majority of the people who respond to media's propaganda and celebrate certain people instead of the country itself.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"matokeo moja wapo ya kuwa mama katika kipindi cha utoto ni mwanamke kukosa fursa za kujiendeleza kitaaluma, na hivyo kujikuta akifanya kazi yoyote ile kujipatia kipato.

English

"one consequence of teen mothers is woman lose development opportunities from a professional viewpoint, take any job in order to make some income.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nilitamani sana kuishi maisha yangu nikiwa miongoni mwao, na zaidi sana nilikuwa nikisubiri ile siku ambapo tungejifunza kuhusu upendo na kusahau kuhusu michezo, kipindi ambacho nasi tungeingia kwenye mapenzi na kujikuta tukihuzunishwa nayo.

English

i wanted to live through the stages of my life with them, and most of all i was waiting for the day on which we would learn about love and forget about games, when we'd fall in love until we became depressed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

brankovikj amekumbana na tahayaruki ya kujikuta mali zake zikitaifishwa mara mbili na serikali kwa miaka 65 iliyopita, na ingawa alishinda kesi mahakamani kuhusu suala hilo, bado taasisi za kiserikali zimeshindwa kutekeleza maamuzi hayo ya kimahakama na kumrejeshea mali zake.

English

brankovikj has had his property nationalized twice by the state over the last 65 years, and although he won all the court cases regarding this matter to date, macedonian state institutions have failed to implement the verdicts and return his property.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

si tu kwamba wamejihatarisha kwa ghasia wakati wakiandika habari hizo za mapambano kati ya polisi na waandamanaji, lakini pia waliporudi ofisini wakitokea kwenye uwanja wa habari, wengine wao wamejikuta wakifuatiliwa ndani kwa ndani na waandishi wenzao au hata kujikuta wakibughudhiwa na wahuni wanaounga mkono msimamo wa beijing.

English

not only have they exposed themselves to violence while covering clashes between police and protesters, when they return to the office from the field, some of them have to endure the push for self-censorship from the newsroom or even harassment from pro-beijing thugs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huku kukiwa na matarajio ya mabadiliko katika serikali za marekani na israeli – pamoja na makundi ya upinzani yenye sauti na yaliyo mitandao ya ndani na ile inayovuka mipaka na kuingia gaza – inaonekana kuwa utawala unaozeeka wa mubarak unaanza kuingiwa na kihoro na kujikuta una machaguo machache ya kuendeleza mshiko wake madarakani isipokuwa kwa kutumia mikakati ya kuongeza hali ya vuguvugu.

English

with the changes afoot in us and israeli administrations—along with increasingly vocal, powerful and interconnected resistance groups, domestically and across the border in gaza—it seems the aging mubarak regime is getting nervous and finds little option to maintain its grip on power but to resort to a strategy of tension.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,384,945 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK