Results for kukemea translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kukemea

English

to reboke

Last Update: 2022-10-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa bahati nzuri, yamekuwepo makundi kama vile eiler yanayoendesha kampeni ya kukemea aina mbalimbali za utumikishwaji wa watoto nchini philippenes.

English

fortunately, there are groups like eiler which are campaigning for the elimination of the worst forms of child labor in the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, serikali ya kidini ya bangladesh hadi sasa imeweka juhudi hafifu sana za kukemea mashambulizi haya au kuwafikisha wauaji kwenye vyombo vya sheria.

English

despite this, bangladesh’s secular government has done little to discourage the attacks or bring the killers to justice.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, jamaa na familia ya waathirika walitoa taarifa kukemea kwamba bado hakuna taarifa zinazoeleweka pamoja na habari za kutiwa chumvi kuhusu ukubwa wa timu ya waokoaji.

English

however, the victims' relatives and families have released a statement lashing out that information is still lacking and the scale of the rescue team has been greatly exaggerated.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

meena, fanani katika katuni, inaendelea kutoa hamasa kwa maisha ya watoto pamoja na kukemea unyanyapaa wa kijinsia katika jamii.... http://t.co/h5mbxhr64y — unicef bangladesh (@unicefbd) tarehe 24 disemba, 2013

English

animation character meena continues to influence lives of children and dispel negative social stereotypes... http://t.co/h5mbxhr64y — unicef bangladesh (@unicefbd) december 24, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,779,371,027 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK