Results for kukiunga translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mwanablogu wa kimarekani aliye nchini moroko anaandika kukiunga mkono kijiji hicho:

English

an american blogger in morocco writes in with support for the village:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tukio hili pia limechochea idadi kubwa ya watu kukihurumia na kukiunga mkono chama cha siasa cha khan, huku wengi wakitabiri kuwa, hali hii inaweza kuwa kuwa msaada mkubwa kwa chama cha khan.

English

the incident has also triggered mass support and sympathy for khan's political party, with many speculating that it may turn the tables in the party's favor.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara nyingi huwa wanaishia kuwatukana wengine pale kunapotokea mgongano wa kimawazo. wanaamini kuwa wana uhuru wa kukiunga mkono chama fulani-lakini hawaheshimu haki ya watu wengine ya kukiunga mkono chama kingine.

English

they normally end up cursing others for having opposite ideas they believe they have freedom to support a party - but they don't respect others' freedom to support a different party.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hakika, mambo haya hayapaswi kuwa na maana yoyote, ni maneno matupu kwa chama cha pap ambacho kinawaacha wakiwa hawana chochote cha kupinga itakuwa ni njia muafaka sana kwa wengine ambao bado wanaweza kushawishika kukiunga mkono chama cha pap.

English

in fact, these do not even need to say anything—a mere talk with the pap that leaves them with nothing to criticize will be effective enough for others who can still be convinced to support the pap.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,514,178 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK