Results for kukodisha translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kukodisha

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kukodisha ukumbi

English

rent a hall

Last Update: 2021-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

niliziona nyuso za waendesha magari ya kukodisha wakiwa wanaapaswa kufanya kazi na kupeleka fedha kwa waajiri wao, na pia wanaotakiwa kurudisha mikopo, wanahaha ili kupata mafuta na pia kutoa mikopo kwa ajili ya kununulia nishati

English

i saw the faces of taxi drivers who are doing work and pay and need to pay off loans struggling for fuel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa mfano, nimeambiwa kuwa, safari zake za ndege za nje ziliigharimu serikali zaidi ya dola za marekani mbili bilioni, kwa kukodisha ndege za kifahari yeye na familia yake na ujumbe wake pamoja na anasa zingine zisizokuwa za lazima.

English

for instance, i am told that his air travels alone cost the state some $2 billion, on chartered jets, his family, full entourage, and various other luxuries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

unyang’anyi wa ardhi ni suala tete linalohusu umilikishaji wa maeneo makubwa ya ardhi; ununuzi au kukodisha maeneo makubwa ya ardhi katika nchi zinazoendelea unaofanywa na makampuni ya nyumbani au ya kimataifa, serikali au watu binafsi.

English

land grabbing is the contentious issue of large-scale land acquisitions; the buying or leasing of large pieces of land in developing countries by domestic and transnational companies, governments, and individuals

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufungwa kwa vyuo na vyuo vikuu kuna athari hasi kwenye uchumi na madhari ya kina kipana.kwa mujibu wa linda bilmes wa harvard kennedy school, "hoteli za mtaani, mikahawa, kafe, maduka, mashirika ya kukodisha magari na biashara za ndani hupokea mgao wa kiasi kikubwa wa mapato kutokana na shughuli za mahafali na mikutano ya wanafunzi chuoni...

English

college and university closures have a domino effect on economies with far-reaching implications.according to linda bilmes of the harvard kennedy school, "local hotels, restaurants, cafes, shops, car rental agencies and other local businesses obtain a significant share of annual revenue from graduation week and college reunions...

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,746,966,917 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK