Results for kukusanywa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kukusanywa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sasa yahusu kuja kwake bwana wetu yesu kristo na kukusanywa kwetu pamoja tukae naye. ndugu, tunawaombeni sana

English

now we beseech you, brethren, by the coming of our lord jesus christ, and by our gathering together unto him,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

balik cina inahamasisha kukusanywa kwa nukuu zote nzuri na zenye hamasa zinazotolewa na wanasiasa wa malaysia na watu maarufu wa nchi hii.

English

balik cina aspires to be the finest collection of all beautiful and inspirational quotes by malaysian politicians and public figures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, zinapaswa kukusanywa kwa utaratibu maalum ili kutumika pamoja na data ya sasa ya uchunguzi inayoangazia idadi ya visa vilivyoripotiwa na idadi ya vifo.

English

they should, however, be collected in a systematic fashion to complement current surveillance data that focus on the number of reported cases and the number of deaths.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iwapo kuna idadi kubwa sana ya visa vya covid-19 kitaifa, sampuli za watu waliopona zinaweza kukusanywa kutoka katika huduma za rcgp rsc ambapo kuna visa vilivyothibitishwa, kukiwa na uwezo wa kuunganisha rekodi nzima ya kimatibabu.

English

if there are a large number of covid-19 cases nationally, convalescent samples could be collected from rcgp rsc practices where there are confirmed cases, with the ability to link to the full medical record.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kero ni ileile katika barabara kuu mbili: ukatili ni uleule kutoka kwa wamiliki wa teksi za njano , hali ni ile ile ya miili ya binadamu kukusanywa kama samaki kwenye magbana mabasi kama teksi, sauti zilezile ziongezazo furaha ya maisha katika jiji langu.

English

always the same chaos on the two main roads: the same unscrupulous yellow taxis, the same human bodies packed like sardines into magbana taxi-buses, the same familiar noise that animates the life of my capital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika visa vilivyokosa tarehe ya kuanza, tarehe ya kuanza ilikadiriwa kwa kuondoa siku 4 (muda wa kati kutoka kuanza kwa dalili hadi kukusanywa kwa data miongoni kwa visa vilivyo na tarehe zinazojulikana kwenye data hizi) kutoka wakati mapema zaidi sampuli ilipokusanywa.

English

for cases with missing onset dates, date of onset was estimated by subtracting 4 days (median interval from symptom onset to specimen collection date among cases with known dates in these data) from the earliest specimen collection.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,783,281,501 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK