Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue.
if a man abide not in me, he is cast forth as a branch, and is withered; and men gather them, and cast them into the fire, and they are burned.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
na kama jicho lako likikukosesha, ling'oe na kulitupa mbali nawe. ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa chongo, kuliko kutupwa katika moto wa jehanamu ukiwa na macho yako yote mawili.
and if thine eye offend thee, pluck it out, and cast it from thee: it is better for thee to enter into life with one eye, rather than having two eyes to be cast into hell fire.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: