Results for kumbe saa nyingine huwa mnahamia ... translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kumbe saa nyingine huwa mnahamia shambani

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

binti huyo mara nyingine hufanya kazi huko penza, na mara nyingine huwa hana kazi.

English

the daughter sometimes works in penza, and sometimes doesn't.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mahojiano hayo ya video mara nyingine huwa katika lugha mbalimbali, lakini hewekewa tafsiri zake katika kiingereza.

English

the video interviews are sometimes in different languages, but all of it is subtitled in english.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yaani walichomwambia ni: “toka hapa, kwenda zako … mara nyingine huwa ninakaa na watu niliowazoea, na mara nyingine katika kituo cha treni.

English

just like that: "get the hell out of here... sometimes i stay with my acquaintances, and sometimes at the train station. do random jobs, here and there..."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mara nyingine huwa ninamshuhudia bibie b akifanya matambiko ya ajabu nyumbani yakiwa na lengo la kuondoa bahati mbaya, na hata ameshawahi kutugharimu kiasi kikubwa cha fedha ili kuijenga upya milango ya mbele na nyuma ya nyumba yetu ili kuweza kunasa bahati nzuri katika nyumba yetu kupitia miungu wazuri wa feng shui.

English

i sometimes notice ms b performing strange rituals at home to ward off bad luck, and she has even cost us a lot of money in re-positioning our front and back doors, in order to capture good luck in our home through good feng shui.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"kwa kweli israeli inataka kutufanya tuwe hivyo hivi sasa", alisema. "kwa mfano, saa nyingine jambo kubwa ambalo hulifikiria ni jinsi ya kupata kilo ya gesi, nilijenga jiko kwa ajili ya familia yangu na nilijisikia kana kwamba nilifanya jambo la kustaajabisha."

English

“actually israel is trying to force us into a meaningless life like this,” he says. “like, sometimes i feel that all that really matters to me right now is a kilo of gas. i built a stove for my family and i feel like i did something amazing.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,951,978,807 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK