From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nimewahi kumiliki duka la vinywaji
not too far from europe
Last Update: 2021-01-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwenye kumiliki siku ya malipo.
and master of the day of judgment
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
- usafiri wa umma hapa si mzuri sana, lakini kumiliki gari pia ni ghali mno, vinginevyo ningekuwa nimeshajipatia moja
- public transport here is not very good, but getting a car is very expensive. i would’ve got one
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatujajidai kumiliki kitu hiki au kudai eti tuliandika makala. hii ndio maana mradi huu unajitahidi kuweka majina ya sahihi ya wachangiaji kwa kila makala.
we never pretend that we own this stuff or that we wrote the articles, this is why this project strives to make the correct attributions to each and every article
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jambo la kwanza, sikuweza kutambua namna wazee wa singapore walivyojisikia kwa kunyimwa haki ya kumiliki na kutengwa hadi pale mzee mmoja mchangamfu kutoka katika kikundi changu alipotoa maoni yake.
for one, i didn't realize that the elderly in singapore felt such a sense of dispossession and rejection until one elderly gentleman from my group said his piece.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogu ya l'express mada ilitoa taarifa kwamba kijiji kizima cha andranondambo kilichoko kusini mwa madagascar kiliharibiwa kufuatia mapigano ya wanakijiji yaliyosababishwa na mzozo wa kumiliki ardhi.
l'express mada reports that the entire village of andranondambo in the south of madagascar was destroyed during an inter-village conflict that stems from a dispute over land rights.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"tunaamini israeli lazima isitishe mara moja bila masharti mashambulizi yake huko gaza, isitishe ukaliaji wa mabavu kwenye ukingo wa magharibi, waache madai ya kumiliki au kuendesha himaya inayovuka mipaka yake ya 1967.
"we believe israel should immediately and unconditionally end its assault on gaza, end the occupation of the west bank, and abandon all claims to possess or control territory beyond its 1967 borders.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
muswada huo, pamoja na mambo mengine, unawalazimisha wanandoa kuwa na umiliki sawa wa mali zao, na kuwafanya wenzi wanaoishi pamoja bila ndoa kuwa na haki za kumiliki mali na pia unafanya ubakaji unaofanyika kati ya wanandoa kuwa kosa la jinai:
the bill, among other things, makes asset-sharing mandatory in a divorce, provides cohabiting partners with property rights and makes marital rape illegal:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
imekuwa ni moja ya mazoea au mawazo ambayo kwa watu wengi huwa wanachukulia ni kama mawazo ya kitoto kutokana na kwamba ni mawazo ambayo watoto wengi huwaza au kutamani watakapo kuwa watu wazima basi kuweza kuyatimiza au kuyafikia mawazo hayo, lakini mawazo hayo hubaki kuwa ndoto ambazo ili kuzifikia inahitaji jitihada za kutosha katika kujituma kuweza kuyafanya mawazo na ndoto hizo kuwa halisia. watoto wengi huwa na ndoto nyingi ambazo huamini kabisa ukubwani wataweza kuzitimiza kirahisi, ila wanapofikia kuwa watu wazima taratibu ndoto zile huanza kubadilika kulingana na mazingira na hali za kiuchumi pia, japo kuna wengine ambao hufanikiwa kabisa kuziishi ndoto zao. mtoto anaeonekana katika mchoro huu nimoja kati ya watoto wenye ndoto au matamani ya kumiliki vitu vya thamani ambapo ameonekana kuweza kuonesha ndoto zake katika canvas, akionesha kutamani kumiliki gazi zuri la kifahari.
they give me ideas
Last Update: 2024-09-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: