Results for kumwabudu translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kumwabudu

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

naenda kanisani kumwabudu mungu wa mbinguni

English

i am going to the church to worship god of heaven

Last Update: 2022-02-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sioni mwingine mimi wa kumwabudu, ila ni wewe mungu uliye juu

English

i see no one like you

Last Update: 2022-09-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mungu ni roho, na watu wataweza tu kumwabudu kweli kwa nguvu ya roho wake."

English

god is a spirit: and they that worship him must worship him in spirit and in truth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

babu zetu waliabudu juu ya mlima huu, lakini ninyi mwasema kwamba mahali pa kumwabudu mungu ni kule yerusalemu."

English

our fathers worshipped in this mountain; and ye say, that in jerusalem is the place where men ought to worship.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sisi basi, na tushukuru kwani tunapokea utawala usiotikisika. tuwe na shukrani na kumwabudu mungu kwa namna itakayompendeza, kwa ibada na hofu;

English

wherefore we receiving a kingdom which cannot be moved, let us have grace, whereby we may serve god acceptably with reverence and godly fear:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mimi yohane, niliyaona na kusikia mambo haya. nilipokwisha sikia na kuona nikajitupa chini mbele ya miguu ya huyo malaika aliyenionyesha mambo hayo, nikataka kumwabudu.

English

and i john saw these things, and heard them. and when i had heard and seen, i fell down to worship before the feet of the angel which shewed me these things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini mungu alipokuwa anamtuma mwanae mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, alisema: "malaika wote wa mungu wanapaswa kumwabudu."

English

and again, when he bringeth in the firstbegotten into the world, he saith, and let all the angels of god worship him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wanaacha kumwabudu mungu aishiye milele, na badala yake, wanaabudu sanamu zilizo mfano wa binadamu ambaye hufa, mfano wa wanyama, ndege, au wanyama watambaao.

English

and changed the glory of the uncorruptible god into an image made like to corruptible man, and to birds, and fourfooted beasts, and creeping things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakauliza, "yuko wapi mtoto, mfalme wa wayahudi, aliyezaliwa? tumeiona nyota yake ilipotokea mashariki, tukaja kumwabudu."

English

saying, where is he that is born king of the jews? for we have seen his star in the east, and are come to worship him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, mimi nikaanguka kifudifudi mbele ya miguu yake nikataka kumwabudu. lakini yeye akaniambia, "acha! mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako; sote tunauzingatia ukweli ule alioufunua yesu. mwabudu mungu! maana ukweli alioufunua yesu ndio unaowaangazia manabii."

English

and i fell at his feet to worship him. and he said unto me, see thou do it not: i am thy fellowservant, and of thy brethren that have the testimony of jesus: worship god: for the testimony of jesus is the spirit of prophecy.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,740,865,018 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK