Results for kuna baadhi ya watu wanafanya mam... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuna baadhi ya watu wanafanya mambo mabaya

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuna baadhi ya mambo ambayo ni lazima tuendelee kuyafanya.

English

there are some things that we must keep doing.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na baadhi ya watu walio pamoja nawe kadhaalika.

English

god determines the duration of the night and day.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zoezi hili limeshapokewa vizuri na baadhi ya watu wa singapore.

English

the exercise has been met with positivity from some singaporeans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, baadhi ya watu hawajaridhishwa na madai ya serikali.

English

but some people are not satisfied with the government's claim.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu kuwalaani wengine, kuua kila mmoja kwenye mitaani,

English

some people curse each other, kill each other on the street,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu walifia kwenye mgahawa huo baada ya kuporomokea ndani.

English

some people died in the restaurant itself, as it caved in.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunaishi kwenye ulimwengu ambao kuna baadhi ya watu wanaouchora uhuru wa kujieleza kama kitendo cha ugaidi.

English

we live in a world where some label the use of freedom of expression as an act of terrorism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu kufanya kazi kwa kuishi, lakini hapa, watu kufanya kazi kufa.

English

some people work to live, but here, people work to die.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku za hivi karibuni, dalili za ugojwa huu zimeonekana pia kwa baadhi ya watu wazima.

English

recently, some old people have also shown signs of the disease.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilipowasili tarle, niliona baadhi ya watu wakiondoa vitu wao wenyewe kutoka kwenye nyumba zao.

English

when i arrived in tarle, i saw that some people were clearing the things at their house by themselves.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu wanadhani kwamba wakulima wetu hawana elimu na hovyo hawawezi kutumia simu za mkononi.

English

some people think that our farmers are uneducated and cannot use cell phones.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini baadhi ya watu wana mtazamo chanya na zoezi hili na wangependa majaribio yaendelee nchini gambia:

English

but some are more optimistic and would like the trial to go ahead in the gambia:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu wanaona kuwa, kupandishwa cheo huku ni namna ya ya haraka ya sissi kuelekea kugombea urais.

English

some suggest that this promotion is a fast-track to sissi's presidential bid.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu wa baadhi ya watu waliokuwa wakisafiri kwa ndege aina ya mh17 akionesha uso wa huzuni pale alipohojiwa na vyombo vya habari.

English

a relative of those on board flight mh17 getting emotional while being interviewed by media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu walisema kwamba anataka mwanae awe na mtindo wa kawaida wa maisha, kitu ambacho hakina uhusiano na uzalendo.

English

some netizens said that she only wants the child to have a more normal lifestyle, which has nothing to do with patriotism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wapo baadhi ya watu wanao sema: mola wetu mlezi, tupe duniani! naye katika akhera hana sehemu yoyote.

English

among the people is he who says, “our lord, give us in this world,” yet he has no share in the hereafter.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu wanaamini kuwa ushindi huu ulithibitishwa kwa taarifa ya maandishi iliyotolewa mapema julai 14, 2013 – kuwa ni ya dharura tu.

English

some believe that this victory - confirmed in a written document released on july 14, 2013 - is only temporary.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapa chini kuna baadhi ya picha zilizopigwa na waandishi wa habari za kiraia kama zilivyotumwa inmediahk.net kuhusiana na mwonekano wa maandamano hayo:

English

below are some photos taken by citizen journalists from inmediahk.net on the protest scene:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kupitia video, tunaona na kujifunza kuhusu umuhimu wa utamaduni na ongezeko la kiuchumi ambalo utengenezaji vitambaa huwapa baadhi ya watu na mashirika nchini mali.

English

through videos, we see and learn about the cultural importance and economical boost that working with fabric is giving some people and organizations in mali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, kuna baadhi ya tofauti za kimsingi kati ya covid-19 na sars, ambazo ni muhimu katika kudhibiti janga hili na kutibu wagonjwa.

English

however, there are some remarkable differences between covid-19 and sars, which are essential for containing the epidemic and treating the patients.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,735,090,080 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK