From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
said ras-kadafi alikuwa na haya ya kusema kuhusu kuondolewa kwa mampi:
said ras-kadafi of mampi’s eviction:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kuondolewa kwa viini kutoka kwa ngozi kumewezeshwa kwa kuongeza sabuni au dawa kali ya kusafisha majini.
removal of microorganisms from skin is enhanced by the addition of soaps or detergents to water.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
watumiaji wa mitandao walishuku kuwa kuondolewa kwa video hiyo kulipangwa na kutekelezwa na mgombea urais aécio neves.
local netizens have begun to suspect that the video's removal was set in motion by presidential candidate aécio neves.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kabla ya kuondolewa kwa kesi mahakamani , wana blogu walikuwa wanapanga kuanzisha mgomo wa kutonunua bidhaa za shirika la sony.
before the withdrawal of the case, bloggers were planning to launch a boycott campaign against sony corp. yari nk is happy with the decision of the firm to drop the case it is wise for sony corp. to drop the claim since it does not make sense in almost any way that one has to stop using his own name for his personal non-commercial site.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa ujumla, matukio haya yamewaacha wanablogu katika hali ya wasiwasi kwamba kuondolewa kwa video hizi si tukio la bahati mbaya.
in sum, these incidents have left bloggers concerned that the recent video removals are more than just coincidence.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya kuondolewa kwa video hizo, baadhi ya watumiaji wa twita walimfananisha ivanov na waziri mkuu wa uturuki recep tayyib erdoğan.
after the removal of some of the videos, some twitter users compared ivanov with turkish prime minister recep tayyib erdoğan, who has also faced criticism for blocking social media sites in late march 2014
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
athari ya alkoholi ya kukausha ngozi inaweza kupunguzwa au kuondolewa kwa kuongeza gliserini na/au viungo vingine vya emolineti kwenye fomula hiyo.
the drying effect of alcohol can be reduced or eliminated by adding glycerin and/or other emollients to the formula.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
takribani watu 700 wa jamii ya lumad wameweka kambi jijini manila, mji mkuu wa ufilipino, kwa ajili ya kushinikiza kuondolewa kwa wanajeshi kwenye makazi yao.
about 700 lumad members have set up camps in manila, the nation’s capital, to demand the pull-out of troops from their homes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akirejelea tukio la hivi karibuni la kuondolewa kwa sanamu ya kikoloni ya cecil rhodes katika chuo kikuu cha cape town nchini afrika ya kusini, ashley mendelowitz alitwiti:
referring to the recent removal of the colonialist statue of cecil rhodes at the university of cape town in south africa, ashley mendelowitz tweeted:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
njoo uombe maelezo ya kina tena kwa uwazi kuhusu kuondolewa kwa masuala ya utambulisho wa kijinsia na hali ya afya kuhusiana na maambukizi ya ukimwi katika sheria hiyo, ingawa bunge la taifa halijaipitisha bado.
come and demand a public explanation addressing the elimination of gender identity issues and status regarding hiv, in the same legislation, although the national assembly did not approve it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
raia wa korea wengi walitia sahihi maombi yaliyotaka kuondolewa kwa moon juu ya madai ya serikali kutoshughulikia vyema mkurupuko, au kusifu mwitikio wake.janga hili limeruhusu nchi kupitisha sheria za dharura kwa mwitikio.
many koreans signed petitions either calling for the impeachment of moon over what they claimed to be government mishandling of the outbreak, or praising his response.the pandemic has allowed countries to pass emergency legislation in response.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, tukio la pili la "besada" linakuja wakati ambao kuna utata kuhusu kuondolewa kwa kipengeele cha kusitisha ubaguzi wa utambulisho wa kimapenzi katika sheria mpya ya kazi nchini humo.
however, the second edition of the "besada" comes at a time when controversy has arisen around the exclusion of discrimination based on gender identity in the new labor code.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maelfu ya wanafunzi hao wanalala, wanapika, wanafanya mijadala na sherehe kwenye kumbi za mikusanyiko kuandamana wakipinga kutolewa kwa ruzuku ndogo kwa mfumo wa elimu na kile kinachoitwa mchakato wa bologna, sera ya elimu ya umoja wa ulaya.
thousands of them are sleeping, cooking, debating and partying in their auditoriums to protest against the under-financing of the educational system and the so-called bologna process, a european union education policy.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenye tukio hilo, wanaharakati walisoma barua ambayo ilitumwa na arcoiris kwenda kwa mbunge wa bunge la nchi hiyo, esteban lazo, kupinga kuondolewa kwa utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya vvu vinavyoonekana kuleta hisia ya ubaguzi katika mazingira ya kazi kwenye sheria mpya ya kazi nchini humo.
at the event, activists read the letter that arcoiris recently sent to esteban lazo, chairman of the country's legislature, the national assembly of people's power, in protest of the exclusion of gender identity and hiv status as motives of discrimination in the work environment in the new cuban labor code.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pamoja na hatua za mafanikio zilizofikiwa na nchi hiyo tangu kuondolewa kwa wa-taliban mwaka 2001, vyombo vingi vya habari vinavyoandika habari za afghanistan kwa ujeuri tu vimejikita katika masuala hasi kama vile milipuko ya mabomu, mashambulizi ya kujitoa muhanga na kujeruhiwa kwa watu.
despite the progress made by the country since the ousting of the taliban in 2001, most media writing about afghanistan focus stubbornly on negative issues such as bomb blasts, suicide attacks, and casualties.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mnamo oktoba, 2015, zaidi ya watu 700 wa jamii ya lumad (raia wazawa kutoka katika kisiwa cha mindanao kilichopo kusini mwa nchi ya ufilipino) walisafiri maelfu ya kilomita ikiwa ni pamoja na kuweka kambi katika jiji la manila kwa lengo la kushinikiza kuondolewa kwa wanajeshi pamoja na kusitisha matumizi ya nguvu za kijeshi katika jamii zao.
over 700 lumad (indigenous peoples from the southern philippine island of mindanao) traveled thousands of kilometers and set up protest camps in the nation's capital of manila in october 2015 to demand the removal of troops and paramilitary forces from their communities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.