Results for kupanda kwa, sukari translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kupanda kwa, sukari

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

anatarajia kupanda kwa gharama za uzalishaji, huku wasambazaji bidhaa wakijaribu kukidhi mahitaji na mipango michache maalum.

English

he expects rising production costs, as suppliers try to meet demand, and fewer specials.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kampuni binafsi ya aes sonel, kwa mfano, hivi karibuni ilitangaza kupanda kwa bei ya umeme kwa asilimia 7 kuanzia tarehe 1 juni, 2012.

English

the privately-owned aes sonel, for example, recently announced a 7% rise in prices starting from june 1, 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matukio mbalimbali yana adhimisha kumbukumbu ya miaka kote nchini ufaransa, ingawa katika mazingira magumu kutokana na kupanda kwa kasi kwa mbali haki katika ufaransa.

English

numerous events are celebrating the anniversary all over france, though in a complicated context given the rapid rise of the far-right in france.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika soko la kitaalii la mjini accra, fulana za obama na michoro zinauzwa haraka kutoka kwenye safu na waghana wanategema kupanda kwa biashara ya utalii baada ya ziara.

English

at accra's tourist market, obama t-shirts and paintings are flying off the shelves and ghanaians are hoping for a boost in tourism after the visit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hafez omar, mpalestina mwanaharakati na msanii alitwiti: hii ni mara ya kwanza tokea mwaka 1936 tangu wapalestina walipoandamana kwa ajili ya kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha.

English

hafez omar, a palestinian activist and artist, tweeted : this is the first time since 1936 that the palestinians have protested for the sake of the cost of living!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chama tawala cha african national congress (anc) knakabiliwa na mtihani mgumu kuwahi kukikabili chama hicho kwenye uchaguzi wa mwaka huu kufuatia kupanda kwa gharama za maisha, ukosefu wa kazi na kashfa za ufisadi.

English

the ruling african national congress (anc) is facing its toughest test in this year's elections due to rising cost of living, unemployment and corruption scandals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati nchi imo kwenye hali ya kuchanganyikiwa na bei kupanda kwa ghafla pale “malema laini” ilipofika kwa wauza magazeti, wanachama wa ngazi za juu wa anc walikutana kwenye mkutano wa dharura siku ya jumatatu ili wasuluhishe mgogoro mpya zaidi ndani ya chama.

English

with the country in a tizz after sizzling reactions to severe price hikes as “tenderised malema” hit the newsstands, fictitious members of the anc top-brass met at an emergency meeting on monday to resolve the latest crisis in the party.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wafanyakati wa sekta ya umma waliomba ongezeko la mishahara kwa asilimia 65 ili kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha zilizotokana na hatua za kurekebisha hali ya uchumizilizochukuliwa na rais joyce banda, ikiwa ni pamoja na kuishusha thamani ya kwacha (sarafu ya nchini malawi).

English

public sector workers had asked for a 65 percent wage increase to combat a rising cost of living sparked by president joyce banda's tough economic reforms, including a devaluation of the local kwacha currency.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,934,380,854 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK