Results for kupelekwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kupelekwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

siku hiyo ndiyo kuchungwa kupelekwa kwa mola wako mlezi!

English

on that day he will be driven towards your lord!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zaidi ya watu 8000 waliokolewa wilayani bau na kupelekwa kwenye makazi 24 ya muda mfupi.

English

more than 8,000 people in the bau district were evacuated in 24 temporary shelters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hadi sasa, maelfu ya watu wameshaokolewa na kupelekwa kwenye makazi ya muda au kulazwa hospitalini.

English

thousands have been rescued and taken to emergency shelters or hospitalized.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya wayahudi kupelekwa uhamishomi babuloni: yekonia alimzaa shealtieli, shealtieli alimzaa zerobabeli,

English

and after they were brought to babylon, jechonias begat salathiel; and salathiel begat zorobabel;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

asubuhi iliyofuata, walichukuliwa, wakiwa wamepigwa pingu mkononi, kupelekwa kwa ofisi ya upelelezi na mashtaka.

English

the next morning, they were taken, handcuffed, to the investigation and prosecution bureau.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku mbili baadaye, 12 katika wale askari wa doria waliokuwa wakikimbia katika misitu waliokolewa na kupelekwa goma. .

English

two days later, 12 of the 53 rangers that had to flee into the forest were rescued and brought to goma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

paltus_mk na kaka yake hatimaye waliokolewa na kupelekwa kwenye hospitali jirani na baadaye aliwasili mjini st. petersburg.

English

paltus_mk and his brother were finally evacuated to a local hospital and he later arrived to st. petersburg.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfanyakazi mwingine wa tatu waliyekuwa naye amejeruhiwa vibaya lakini amekwishaokolewa na kupelekwa katika hospitali ya plaza de salud huko santo domingo kwa ajili ya matibabu.

English

a third was injured but has been successfully evacuated to plaza de la salud hospital in santo domingo and is receiving treatment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wafungwa wa kisiasa, waandishi wa habari, wanablogu, waratibu wa maandamano na wngine wengi huwekwa kizuizini huko kabla ya kupelekwa jela.

English

political prisoners, journalists, bloggers, protest organizers among others are held there before proceeding to prison.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha mama huyo akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma. lakini mtoto akanyakuliwa na kupelekwa kwa mungu na kwenye kiti chake cha enzi.

English

and she brought forth a man child, who was to rule all nations with a rod of iron: and her child was caught up unto god, and to his throne.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama chama kilicho madarakani, pdp kinadhaniwa kuwa ni chama kinachoweza kusaidiwa zaidi na serikali kuliko apc, hali inayochangia kupelekwa mbele kwa muda wa uchaguzi kwa manufaa ya chama tawala.

English

as incumbent party, pdp is furthermore believed to benefit from more resources than apc, making an extended campaign phase seem preferable.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(2) kuendelezwa kwa uchunguzi wa sasa wa kivirolojia na kupima watu walio na ugonjwa unaofanana na homa ya mafua au maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)—kwa tahadhari kwamba watu wanashukiwa kuwa au ambao wamekuwa hatarini kupata covid-19 wanapaswa kupaswa kupelekwa katika vituo vya kidhibiti vya kitaifa badala ya kupewa tiba ya kimsingi.

English

(2) extension of current virological surveillance and testing people with influenza-like illness or lower respiratory tract infections (lrti)—with the caveat that people suspected to have or who have been exposed to covid-19 should be referred to the national containment pathway and not seen in primary care.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,790,702,408 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK