From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kupiga chafya
clicking
Last Update: 2024-02-16
Usage Frequency: 1
Quality:
kupiga chafya meaning in kiswahili
sneezing meaning in english
Last Update: 2022-01-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya kupenga makamasi, kukohoa au kupiga chafya.
after blowing your nose, coughing or sneezing.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
usafi unaofaa wa mikono baada y a kukohoa au kupiga chafya unahimizwa.
proper hand hygiene after any cough or sneeze is encouraged.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cdc inapendekeza kufunika mdomo na pua kwa kutumia tishu unapokohoa au kupiga chafya na inapendekeza kutumia ndani ya kiwiko ikiwa hakuna tishu inayopatikana.
the cdc recommends covering the mouth and nose with a tissue when coughing or sneezing and recommends using the inside of the elbow if no tissue is available.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
zisizo kawaida; dalili katika sehemu ya juu ya kupumua kama vile kupiga chafya, kamasi puani au maumivu ya koo yanaweza kuonekana.
less commonly, upper respiratory symptoms such as sneezing, runny nose or sore throat may be seen.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mashirika ya afya zilipendekeza kuwa watu wafunike midomo na mapua kwa kutumia kiwiko iliyokunjwa au tishu wakati wanakohoa au kupiga chafya, na kutupa tishu yoyote mara moja.
health organizations recommended that people cover their mouth and nose with a bent elbow or a tissue when coughing or sneezing, and disposing of any tissue immediately.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sars-cov-2 inasambazwa zaidi kupitia kikohozi au kupiga chafya na pia inaweza kusambazwa kupitia kugusana moja kwa moja na vifaa viliyochafuliwa na virusi.
sars-cov-2 is highly transmittable through coughing or sneezing, and possibly also through direct contact with materials contaminated by the virus.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
barakoa ya kimatibabu hupendekezwa kwa wale ambao huenda wameambukizwa, kwa vile kuvaa barakoa huweza kudhibiti kiasi na umbali wa kusafiri kwa matone ya kupumua inayosambazwa unapozungumza, kupiga chafya, na kukohoa.
surgical masks are recommended for those who may be infected, as wearing a mask can limit the volume and travel distance of expiratory droplets dispersed when talking, sneezing, and coughing.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cdc pia inapendekeza kuwa watu waoshe mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji kwa angalau sekunde 20, hasa baada ya kwenda chooni au wakati uchafu unaonekana kwenye mikono, kabla ya kula na baada ya kupenga kamasi, kukohoa au kupiga chafya.
the cdc also recommends that individuals wash hands often with soap and water for at least 20 seconds, especially after going to the toilet or when hands are visibly dirty, before eating and after blowing one's nose, coughing or sneezing.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ikiwa mtu anakuwa mgonjwa katika ndege, uthabiti vyema kulinda wafanyakazi na abiria wengine hujumuisha kutenga mtu mgonjwa na wengine kwa umbali wa futi 6, kuchagua mfanyakazi mmoja wa ndege kushughulikia mgonjwa, na kumpa barakoa ya uso mgonjwa au kumwomba mgonjwa kufunika mdomo na mapua yao na tishu anapokohoa au kupiga chafya.
if a person becomes sick on an airplane, proper controls to protect workers and other passengers include separating the sick person from others by a distance of 6 feet, designating one crew member to serve the sick person, and offering a face mask to the sick person or asking the sick person to cover their mouth and nose with tissues when coughing or sneezing.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cdc inapendekeza watu waoshe mikono yao mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji kwa angalau sekunde ishirini, hasa baada ya kuenda chooni au ikiwa mikono yako yaonekana kuwa chafu; kabla ya kula; baada ya kupenga makamasi, kukohoa, au kupiga chafya.
the cdc recommends that people wash hands often with soap and water for at least twenty seconds, especially after going to the toilet or when hands are visibly dirty; before eating; and after blowing one's nose, coughing, or sneezing.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: