Results for kushuka kwa bei translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kushuka kwa bei

English

Last Update: 2024-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hizo track kwa bei ya jumla shingapi

English

nahitaji hizo track suit za watoto bei gani

Last Update: 2023-05-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuongezeka kwa bei ya mafuta ni ongezeko la kimkakati.

English

the increase in gasoline prices is a tactical increase.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ongezeko la asilimia 40 kwa bei ya mafuta nyie wadhalimu?

English

a more than 40pc increase in gasoline prices you infidels?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au hiki kinachoonekana kuwa kushuka kwa kublogu ni kwa sababu ya kubadilika kwa utamaduni na uandishi wa kiraia?

English

or is what appears to be a gradual decline in blogging simply because of social media and changing norms?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchini thailand eshark mradi ulizinduliwa katika mwanga wa taarifa ya kushuka kwa asilimia 95 drop katika kuonekana kwa papa nchini thailand.

English

the thailand eshark project was launched in light of the reported 95 percent drop in shark sightings in thailand.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

suala la upatikanaji wa maji safi na kwa bei nafuu ni haki ya kibinadamu lakini hii haijapewa kipaumbele inavyohitajika sana.

English

the issue of accessing pure and affordable water is a fundamental human right but this is not given the much needed attention.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chakula kinapatikana katika soko –lakini kwa bei iliyopaa sana ambayo ni watu wachache tu wanaweza kuimudu.

English

food is readily available in the market – but at an inflated price few can afford.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuthibiti hali hii, ukosefu wa vifaa vya kinga ni mbaya kiasi kwamba glovu za matibabu zinauzwa kwa bei juu.

English

compounding this situation, the lack of protective equipment is so serious that medical gloves are being sold on the black market.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, ongezeko hili lilisababisha kuongezeka kwa bei za bidhaa, bila ya kuongezeka kwa mishahara wala ujira katika nchi ya palestina.

English

there was therefore a rapid rise in prices, without any significant increase in salaries or wages in the palestinian territories.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hitaji hili limesababisha kuongezeka kwa bei kwa hadi mara ishirini ya bei ya kawaida na pia kusababisha kuchelewa kwa usmbazaji wa vifaa vya kimatibabu kwa kati ya miezi minne na sita.

English

this demand has led to the increase in prices of up to twenty times the normal price and also induced delays on the supply of medical items for four to six months.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kampuni binafsi ya aes sonel, kwa mfano, hivi karibuni ilitangaza kupanda kwa bei ya umeme kwa asilimia 7 kuanzia tarehe 1 juni, 2012.

English

the privately-owned aes sonel, for example, recently announced a 7% rise in prices starting from june 1, 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kukiwa na vyuo vikuu zaidi ya 30 nchini sudan na kukiwa na maongezi ya kushuka kwa kiwango cha elimu na ongezeko la ukosefu wa ajira kati ya wale waliohitimu chuo kikuu, tunashawishika kuamini kuwa vyuo vikuu vimepoteza thamani yake na sasa vinakaribia kutokuwa na thamani yoyote.

English

with more than 30 universities in sudan and with talk of declining academic standards and rising level of unemployment amongst university graduates in our country, one is led to believe that university education has lost its glitter and is now next to worthless.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kiasi fulani cha mbolea hiyo kilikuwa na mchanga mwingi kuliko mbolea wakati sehemu kubwa ya mbolea hiyo ya ruzuku ya serikali ilivushwa nje ya mipaka yetu na kupelekwa katika nchi jirani ambapo iliuuzwa kwa bei halisi ya soko.

English

some of the fertilizer delivered contained more sand than fertilizer while a large portion of the fertilizer subsidized by government found its way across our borders to neighbouring countries where it was sold at prevailing market prices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilishaongea na wichoka kuhusu sb. nitahitaji siku ya jumatatu na nyingine mwezi wa kwanza kwa bei ya 4000 + vat naomba utambulisho wako

English

thank you very much my friend take your time

Last Update: 2013-01-10
Usage Frequency: 2
Quality:

Swahili

na kwamba sisi ni aina ile ya watu ambao hulalamikia kuongezeka kwa bei za mafuta, kodi zilizo juu za lipa kadiri unavyopata, gharama za juu ya upigaji simu ... kwa ujumla ni gharama zilizo juu ya maisha.

English

and that we are the kind of people to complain about rising fuel prices, high pay as you earn taxes, impossible airtime charges…basically a very high cost of living.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkurugenzi wa benki ya dunia kwa nchi za zambia, malawi na zimbabwe, bw. kundhavi kadiresan aliukosoa uamuzi huo na kudai kwamba wakulima masikini wa zambia wananyonywa kwa sababu baadhi ya wafanyabiashara walikuwa wananunua mahindi kutoka kwa wakulima hao kwa ajili ya kuliuzia shirika linaloendeshwa na serikali liitwalo hifadhi ya chakula kwa bei ya juu.

English

world bank country director for zambia, malawi and zimbabwe, kundhavi kadiresan criticized the decision and claimed that poor zambian farmers were being exploited as some traders were buying maize from them in anticipation of re-selling it at a higher price to the state-run food reserve agency.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,832,259 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK