From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mavazi ya kutafakari
reflector jacket
Last Update: 2022-02-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninadhani ni muhimu kutafakari aina gani ya elimu ya msingi itawanufaisha watu wengi.
i think it is important to consider what kind of basic education will benefit the most people.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika mtandao, wanablogu na watumiaji wa twita wanasherehekea na kutafakari kwa kina mustakabali wa tanzania.
online, bloggers and tweeps are celebrating and reflecting on the future of tanzania.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunatarajia kuwa na siku moja kwa ajili ya kutafakari na kuzungumza kuhusiana na mada hiyo ambayo daima imekuwa na umuhimu wake.
we look forward to dedicating a day to thinking and talking about a topic that never seems to lose relevance.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
haitoshi kubandika mabango ya ernesto che kwenye kuta zake ukadhania kutafakari ama kuelewa kile kinachostahili kufanywa ili kuachana na yote ili kuwa na siku njema.
it's not enough to brandish posters of ernesto che on our walls to pretend to imagine or understand what it takes to lay down absolutely everything for a better day.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuna mashaka kwamba, kadri muda unavyoendelea, tafakuri na chambuzi zaidi zinafuatia katika kujaribu kutafakari matukio ya kutisha ya septemba 21.
there is no doubt that, as time goes by, more pondering and analysis will follow to reflect on the horrific events of 21 september.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wengine wakisikitishwa na tabia inayoshika kasi ya kuhama nchi miongoni mwa watu wa tabaka la kati, wakitoa mwito kwa viongozi waandamizi nchini china kutafakari:
some were sad about the emigration trend among china’s middle class, calling for reflection among chinese top leaders:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mkutano huu hufanyika kila baada ya miaka miwili na huwa kuna mada nyingi katika ajenda, labda hata nyingi kuweza kuenea katika podikasti moja lakini kwa hakika kuna mengi ya kutafakari.
the global voices summit takes place every two years and there are many topics on the agenda, possibly too many to fit into one podcast but certainly a lot of food for thought right here.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
imegunduliwa pia kuwa watu, baada ya kukumbuka au kutafakari matendo yasiyo na maadili, huonekana kuosha mikono zaidi kuliko wengine, na huonekana kuthamini vifaa vya kuosha mikono zaidi.
it has also been found that people, after having recalled or contemplated unethical acts, tend to wash hands more often than others, and tend to value hand washing equipment more.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatimaye, brazil itatumika kama "panya" kwa mataifa ya amerika ya kusini ambayo yalikuwa na ndoto kuwa siku moja itaandaa tukio hili kubwa, itatumika kuuliza kama brazil itapata mapato mazuri na miundombinu yote iliyobadilishwa au kama, kinyume chake, lilikuwa ni kosa kubwa na la gharama kubwa, kama itafanya nchi kama yetu kutafakari juu ya kile kinachofanywa katika serikali katika masuala ya miundombinu, ajira, elimu, na bila shaka, kuwekeza katika michezo ili siku moja kombe la dunia litaweza kuandaliwa.
finally, brazil will serve as a "guinea pig" for the latin american countries that someday had dreamt of organizing this great event, it will serve to ask if brazil will have good returns with all of the inverted infrastructure or if, on the contrary, it was a serious and costly error, if it will make countries like ours reflect on what is being done in the governments in matters of infrastructure, employment, education, and of course, investing in the sport all so that one day a world cup could be organized.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting