From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
uwasilishaji wa data kwa umma kwa kutumia nyenzo za kutazama na dashibodi
public presentation of data using an observatory and dashboards
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
jillian c. york aliye miongoni mwa washindi wa tuzo ya knight news challenge ambaye mradi wake utahusika na kukusanya taarifa za udhibiti wa taarifa katika majukwaa ya mtandaoni kama vile facebook na twitter.
jillian c. york's knight news challenge-winning project will collect data about censorship on online platforms such as facebook and twitter.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alhamisi tarehe 25 machi 2010, mamia ya watu katika miji mingi duniani pamoja na accra watakutanika nje ya mtandao na kukusanya nguvu kwa ajili ya jambo muhimu la elimu kwa kuandaa matukio ya kufurahisha na kuelimisha umma.
on thursday 25 march 2010, people in hundreds of cities around the world including accra will come together offline to rally around the important cause of education by hosting local events to have fun and create awareness.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaja, akasema, bwana, najua wewe ni mtu mgumu; wewe huvuna pale ambapo hukupanda, na kukusanya pale ambapo hukutawanya.
then he which had received the one talent came and said, lord, i knew thee that thou art an hard man, reaping where thou hast not sown, and gathering where thou hast not strawed:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wakati miili ya waathirika wa ndege ya mh17 ilipowasili nchini uholanzi, mfalme wa nchi hiyo willem-alexander na malkia maxima, na pamoja na familia karibu yote ya kifalme, wakiambatana na maafisa wa serikali walikaa na kutazama na kulia na kuomboleza na taifa wakati majeneza yaliposhushwa kutoka kwenye ndege.
when the bodies of the mh17 crash victims arrived in the netherlands, the dutch king willem-alexander and queen maxima, and the rest of the dutch royal family, along with government officials sat and watched and cried and mourned with nation as the coffins were brought from planes to hearses.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.