Results for kutibu wa wagonjwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kutibu wa wagonjwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hii imesababisha utambuzi wa mapema wa usuli miongoni wa wagonjwa wa hatari ya chini.

English

this has led to initial early identification of background spread in low-risk patients.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pia inafahamika kwamba mlipuko wa saitokini hutokana na mfumo wa kinga ya mwili wa wagonjwa kutoa antibodi kupita kiasi kupigana na sars na mers.

English

it has been known that a cytokine storm results from an overreaction of the immune system in sars and mers patients.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ufuatiliaji wa wagonjwa walio katika hali ya chini ya hatari unapaswa kuwa kigezo cha wakati tumefikia upeo huu na wakati viwango vya maambukizi vimeanza kupungua.

English

surveillance of low-risk patients should inform when we reach this tipping point and when infection rates start to remit.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kupima kwetu wagonjwa walio katika hatari ya chini kutaonyesha iwapo mkakati wa udhibiti uliowekwa kwa msingi wa upimaji wa kivairolojia wa wagonjwa walio katika hatari kubwa na watu waliogusana naye na kujitenga.

English

our testing of low-risk patients will also inform whether the containment strategy that is based on virology testing of high-risk patients and their contacts plus self-isolation is effective.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

madaktari wanaofanya uchunguzi huo walipendekeza kuwa, ili kupunguza maambukizo na kutenga ppe, kwa sababu ya idadi kubwa ya wagonjwa wasioonyesha ugonjwa, uchunguzi wa wagonjwa wote wajawazito unapaswa kufanywa.

English

the doctors conducting the screening recommended that in order to reduce infection and allocate ppe, due to high numbers of patients presenting as asymptomatic, universal screening of pregnant patients should be conducted.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kipindi cha katikati hadi mwishoni wa mwezi disemba 2019, mkusanyiko wa wagonjwa wa nimonia ambao awali ulifahamika kuhusishwa na maambukizi ya sars-cov-2 uligunduliwa kule wuhan, mkoa wa hubei, china.

English

during middle to late december 2019, clusters of pneumonia patients retrospectively known to be associated with sars-cov-2 infection were detected in wuhan, hubei province, china.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mmano tarehe 11 februari 2020, utafiti wa vituo anuwai wa wagonjwa 8,866 wakiwemo 4,021 ambao walithibitishwa kuwa na covid-19 uliwasilisha taswira iliyosasishwa zaidi ya janga hili kama ifuatavyo (https://mp.weixin.qq.com/s/ulbi-hx_rhpxa1qha2bhda).

English

on february 11, 2020, a multi-center study on 8,866 patients including 4,021 confirmed covid-19 patients presented a more updated illustration of the epidemic as follows (https://mp.weixin.qq.com/s/ulbi-hx_rhpxa1qha2bhda).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,748,468,897 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK