Results for kutoa huduma bora translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kutoa huduma bora

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

huduma bora

English

excellent service

Last Update: 2023-03-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nitafanyakazi kwa moyo wote na kusaidia mwajiri kutoa huduma bora siku zote

English

i have been working hard and helping my employer to provide the best service all day long.

Last Update: 2023-02-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huduma bora za wateja – airtel uganda

English

best customer care – airtel uganda

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, wizara imejitahidi kuweka sawa huduma bora kwa wote

English

ministry, however, has endeavored to keep the same quality of service for all

Last Update: 2023-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

safaricom ilikuwa kampuni ya kwanza nchini kenya kutoa huduma ya miamala ya kibenki.

English

safaricom was the first company in kenya to offer mobile money transfers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni hoteli ya huduma zote yenye kutoa huduma za uhakika na yenye kutoa malazi salama.

English

it is a full service hotel and spa offering deluxe, comfortable and safe accommodations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mipango hiyo ilitekelezwa kisha ikawa desturi kwa makuhani kuingia kila siku katika hema ya nje kutoa huduma zao.

English

now when these things were thus ordained, the priests went always into the first tabernacle, accomplishing the service of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wamiliki wa viwanda au hao wanaohusika ni nadra sana kuhukumiwa kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kulikopelekea uharibifu mkubwa kiasi hiki.

English

the factory owners or those responsible are rarely convicted for their lapses that lead to the big disasters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vyanzo vinasema kuwa ethiopia itaweza kutoa huduma maji safi ya kunywa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufikiwa kwa malengo ya milenia.

English

sources revealed that ethiopia will provide a supply of clean water before the millennium development goals deadline

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watoto wa kike kwenye migodi hufanya kazi ya kuchambua dhahabu au kutoa huduma anuai kwa wachimbaji madini kama vile kuwafulia nguo au kuwapikia chakula.

English

girls in mines work in gold panning or providing services to miners such as doing their laundry or cooking meals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufungwa kwa shule kunaweza mzigo kwa wazazi na walezi kutoa huduma ya kutunza watoto na kusimamia masomo ya mbali huku watoto wakiwa nje ya shule.

English

school closures puts a strain on parents and guardians to provide childcare and manage distance learning while children are out of school.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

itakuwaje kama mke atamtelekeza mume na kisha kumfungulia mashitaka ya kushishwa kutoa huduma za muhimu je sheria hii italeta malumbano ya mapato kati ya wake na waume zao?

English

will this law create new financial skirmishes between wives and husbands?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wafanyakazi wa sekta ya afya nchini msumbiji wamekuwa katika mgomo uliodumu kwa siku kumi na kusababisha kusimama kwa huduma katika vitengo vingi vya kutoa huduma za afya kote nchini humo.

English

health professionals in mozambique have been on strike for ten days leading to the halt of operations in many medical units throughout the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

likiwa limeanzishwa mwaka 2005, may first ni shirika lisilo la kibiashara linalojikita katika kutoa huduma za mtandao wa intaneti, kama vile kuhifadhi tovuti za watu binafsi na mashirika.

English

founded in 2005, may first is a non-profit organization dedicated to provide cooperative internet services, such as web hosting to individuals and organizations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa kuwa, ugonjwa wa anemia unamuhusisha kila mmoja na kuwajumuisha wataalamu wote wa afya, ugonjwa huu unaonesha ni kwa jinsi gani unavyopaswa kupewa msisitizo wa haraka kwa kutoa huduma za afya zinazopaswa.

English

because sickle-cell anemia is cross-disciplinary and involves all medical specialties, this disease alone illustrates how essential it is for you to immediately take stock of the healthcare situation in our backyard.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

2) mfumo wa kutoa huduma ya afya itaipa kipaumbele huduma za kuwahudumia wale ambao ni wagonjwa zaidi na itaipa kipaumbele rasillimali, ikiwa ni pamoja na bidhaa za kujikinga, kwa watoa huduma wanaotoa huduma ya moja kwa moja kwao.

English

2) the healthcare delivery system shall prioritize services to serving those who are the sickest and shall prioritize resources, including personal protective equipment, for the providers providing direct care to them.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pamoja na mashirika na makapuni ya anga za juu kutoa huduma zao kwa asasi zisizokuwa za kiserikali, wanasayansi na watu wa kawaida, mpango wa mazingira wa umoja wa mataifa umetengeneza kitabu cha ramani cha mtandaoni kitakachokuwa na faharasa ya mabadiliko yanayotokea kwenye maeneno mbalimbali ulimwenguni kwa miongo mingi.

English

besides space agencies and companies offering their services to ngos, scientists and common people, the united nations environment programme created an online atlas indexing the changes occurring in different parts of the world through decades.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanaharakati kutoka ujerumani, franziska heine, alianzisha upigiaji debe unaofikiriwa kuwa wenye mafanikio zaidi katika historia ya ujerumani, na huo ulikuwa na lengo la kuzuia sheria ambayo ingewapa askari polisi wa ujerumani haki ya kutengeneza na kutunza orodha ya vikwazo hasa kuhusu tovuti ambazo zingezuiliwa na makampuni ya kijerumani ya kutoa huduma za intaneti.

English

an activist from germany, franziska heine, initiated the most successful e-petition in german history, aimed to prevent a law which would give the german police the right to create and maintain censorship lists with websites to be blocked by german isps.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

awamu zijazo za mradi huu zitajumuisha usambazwaji wa vifaa vya kupimia vvu majumbani, pia uendelezwaji wa "huduma za vituo vya simu mtandaoni," na utumiaji wa ujumbe wa maandishi wa simu za mkononi ili kutoa huduma binafsi za taarifa za afya kwa wale wanaotibiwa ukimwi.

English

future phases of the project involve distributing at-home hiv testing kits, developing “virtual call centers,” and using text messages to provide personalized healthcare information for those being treated for aids.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wanablogu walikuwa ni miongozni mwa watu wa kwanza kusambaza habari kuhusu tukio hilo baya, na hivyo kuwa chombo cha habari imara wakati tovuti nyingi za vyombo vikubwa vya habari viliposhindwa kutoa huduma kutokana na msululu mkubwa (wa watumiaji wa mtandao) na idhaa za televisheni zilikuwa taratibu mno katika kutayarisha maudhui katika wakati unaotakiwa.

English

bloggers were among the first to spread the word about the tragic event, becoming the only stable media while major news websites stopped responding due to high traffic and tv channels were too slow to prepare any material on time.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,920,154,378 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK