Results for kutofanya translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kutofanya

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu.

English

do not let your enmity for others turn you away from justice.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. fanyeni uadilifu.

English

do not allow your hatred for other people to turn you away from justice.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, ndiyo ishara za tangu jadi za kutofanya kazi kwa moyo au ini.

English

thus, they are traditional markers for heart or liver dysfunctions.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika visa vingine, ugonjwa unaweza kuendelea kuwa nimonia, viungo anuwai kutofanya kazi na kifo.

English

in some, the disease may progress to pneumonia, multi-organ failure, and death.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

licha ya hayo, kutofanya kazi kwa njia za pumu na kufeli ndiyo tishio kuu kwa wagonjwa na sababu kuu ya vifo.

English

nevertheless, respiratory dysfunction and failure are the major threat to the patients and the major cause of death.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya mwenyezi mungu mkitoa ushahidi kwa haki. wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu.

English

be maintainers, as witnesses for the sake of allah, of justice, and ill feeling for a people should never lead you to be unfair.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa upande mwingine tshabalala-msimang amelaumiwa vikali kwa kutofanya juhudi za kutosha kukabili tatizo la vvu na ukimwi nchini humo.

English

tshabalala-msimang has also been blamed for inadequately responding to south africa's hiv/aids problem.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

imewataka wote, serikali ya nepal na wapinzani wa ki-mao kutofanya ghasia zozote kwani kufanya hivyo kunaweza kuharibu mchakato wa amani mabo umekuwa ukiendelea tangu mwaka 2006.

English

it has called on both nepal government and maoist protesters not to resort to any violence since it may jeopardize the very peace process going on since 2006.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika hali mbaya zaidi, wagonjwa waliendelea kuwa na matatizo mabaya ya kupumua, hali inayosababisha viungo vya mwili kutofanya kazi, asidi nyingi mno mwilini na hali ya damu kushindwa kuganda.

English

in severe cases, patients quickly progressed to develop acute respiratory syndrome, septic shock, metabolic acidosis, and coagulopathy.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vilevile, kudumisha usawa wa electrolyte, kuzuia na kutibu maambukizi ya pili na kutofanya kazi kwa viungo vya mwili na ulinzi wa utendakazi wa viungo muhimu pia ni muhimu kwa wagonjwa wa sars-cov-2.

English

in addition, the maintenance of electrolyte balance, the prevention and treatment of secondary infection and septic shock, and the protection of the functions of the vital organs are also essential for sars-cov-2 patients.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

c/samahani kwa kutofanya vizuri kwa kazi ya ujenzi wa barabara na kupelekea kupungua kwa faida sababu zilizosababisha kutofanya vizuri ni kwanza mvua nyingi zilizosababisha kukaa muda mrefu kwa kazi kutokana na kusimama kwa kazi wakati wa mvua na wakati mwingine kurudia kazi iliyohalibiwa na mvua.pili kuhalibika kwa mitambo mara kwa mara kwa mfano wa mtambo ni kuhalibika kwa excavator nakupelekea kutoyatumia mafuta yake na kuweka mengine na pia kuhalibika kwa greda mara kwa mara na kupelekea waf

English

c/ sorry for not doing well in road construction work and leading to reduced profitability the reasons for the lack of good are first the excessive rain that caused a long stay of work due to the suspension of work during the rain and sometimes the repetition of the work done by rain. and the death of the dead

Last Update: 2023-10-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,282,869 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK