Results for kuuza translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuuza

English

point of sale

Last Update: 2023-03-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuuza simu

English

namiliki duka la kuuza simu

Last Update: 2024-04-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuuza urembo

English

selling cosmetics

Last Update: 2024-12-08
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

biashara ya kuuza nyumba

English

business of selling a home

Last Update: 2022-05-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nairobi na mombasa makahaba sisi kuuza kuma hapa

English

nairobi and mombasa prostitutes we sell kuma here

Last Update: 2016-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ombi la kuuza vifaa vya ujenzi kwa shule yako

English

application for a job to sell construction materials to your school

Last Update: 2022-02-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kununua na kuuza kwenye simu yako na kwenye mtandao

English

tunauza na kununua simu ziliotumika

Last Update: 2024-04-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuuza barakoa duni za uso kunaweza kusababisha kifungo cha maisha

English

selling substandard face masks has a maximum sentence of life imprisonment

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wasichana wa mitaani mili na brishti wanajitafutia riziki kwa kuuza maua.

English

street girls mili and brishti earn their living by selling flowers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata wale wanachapisha, kutawanya na kuuza vitabu hivi wanapata bughudha ya serikali.

English

even those who print, distribute, and sell these books are harassed by the government.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

picha ya ukurasa huo unaodaiwa kuuza sarafu za kisyria kwenye mtandao wa facebook ambao kwa sasa haupatikani

English

a screen shot of a page which used to allegedly sell syrian antiques on facebook is no longer available

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika mpango huo serikali ilinunua mchele kwa wakulima wadogo kwa bei ya juu na kuuza katika soko la dunia.

English

the program involved the government buying the rice output of local farmers at high a price before reselling the rice to the global market.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

unaweza pia kuharibu na kuuza kompyuta za mapajani, michezo ya kompyuta, nyenzo ngumu za kompyuta na dvd.

English

you can also recycle and sell laptops, video game console, external hard drive, video game or dvd.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

napenda sana kufanya kazi ambayo unaifanya wewe na ya kuuza vitu used kwa hapa tanzania. nitashukuru sana endapo ombi langu litakubaliwa.

English

i'd love to work with you on the sale of things that are used in tanzania. i will be very grateful when my request is accepted. thank you in english

Last Update: 2024-07-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jifikirie kuwa baada ya kuhitimu kwa masomo ya uhandisi wa ujenzi, umeamua kuanzisha duuka la kuuza vifaa na nyenzo za uhandisi wa ujenzi

English

write down any ten devices you'll put in your store

Last Update: 2022-08-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilikuwa ni kiwango cha uovu katika mchakato na mtazamo uliosambaa kwamba ili upate nafasi katika siasa ilikubidi kuuza roho yako, dhamira na utu wako.

English

it was the level of evil in the process and the widespread view that to have a place in politics you had to sell your soul, conscience and dignity.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

adhabu ya kifo itatolewa kwa kubeba au kuuza mihadarati ya zaidi ya uzito wa gramu 50 kwa mujibu wa sheria za china, na alikutwa na zaidi ya gramu 4000.

English

carrying or selling heroine of more than 50 grams will get death penalty according to the chinese law, and over 4000 grams were found on akmal.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uhalali wa uwekezaji huu wa kigeni uliingia kwenye sura mpya wakati mkataba wa kuuza ardhi uliokuwa ufanywe na mwekezaji wa kikorea aitwaye daewoo ulipopata upinzani mkubwa na kwa sehemu kubwa kuchochea mgogoro uliopo.

English

the worth of foreign investment came into sharp contrast when a land deal with korean investor daewoo came under criticism and partly triggered the current crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sasa kwa vile tumekupata wewe na tunaweza kuuza kazi hiyo hata katika nchi nyingine kwa sababau wewe utakuwemo ndani yake na kwa sababu 'mtaji wako wa kimauhusiano' umekua ...

English

now we have u and we can sell a product to other countries with u in it coz your 'relational capital' has grown....

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari rafiki zangu leo nina taarifa nzuri kwa ajili yenu napenda kuwatangazia biashara yangu ya kuuza nguo za aina yote kwa wanaume na wanawake mimi kama ratifa najiusisha na hii kwa malengo yangu binafsi pia hii biashara inanisaidia sana na biashara zinachangamoto nyingi sana kwasababu kuna siku utapata hela na kuna siku utakosa mimi niwakaribiahe sana kuja kununua nguo kwangu kwa bei rahisi sana na nafuu ahsanteni kwa kunisikiliza

English

news my friends today i have good news about you i would like to announce to you my business of selling all kinds of clothes to men and women i as a ratfa i am involved and this for my personal purposes also this business is very helpful and the business is very challenging because there are days you will get money and there are days you will miss i am very close to you to come and buy clothes for me very cheap and cheap thank you for listening to me.

Last Update: 2024-11-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,890,859,094 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK