Results for kuwa na tamaa ya vitu ambayo hana... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuwa na tamaa ya vitu ambayo hana uwezo navyo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mwamko huu sio kwamba unatokana na tamaa za kutaka utajiri au faida ya vitu.

English

this awakening is not from greed or material profit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huwezi kulifanya kuwa kosa na kumwadhibu mtu kwa kuwa na tamaa ya kimapenzi na hisia za kuvutiwa na mtu mwingine wa jinsia yake.

English

you cannot make it an offense and punish a person for having feelings of sexual and emotional attraction towards others of the same gender.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. nami sasa nitawaonyesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.

English

but covet earnestly the best gifts: and yet shew i unto you a more excellent way.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

macho yao yamejaa uzinzi na uwezo wao wa kutenda dhambi hauna kikomo. huwaongoza watu walio dhaifu mpaka mitegoni. mioyo yao imezoea kuwa na tamaa ya mali. wapo chini ya laana ya mungu!

English

having eyes full of adultery, and that cannot cease from sin; beguiling unstable souls: an heart they have exercised with covetous practices; cursed children:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni kweli, kuwa mapinduzi mengi yalipangwa kwenye vyumba vya faragha ambapo wanadiplomasia wa nchi za magharibi walikutana na maafisa wa kijeshi huku wakigida mvinyo na pombe ghali, wakiwafanya si tu wawe na tamaa ya kudhibiti raslimali za taifa kama watang’oa viongozi wenye misimamo mikali dhidi ya nchi za magharibi lakini pia kuwafadhili mtaji.

English

of course, most of these were brewed in smoky backrooms where western diplomats met military officers while sipping on expensive wines and spirits, enticing them with not only the control of national resources if they kicked out an anti-western radical leader but also the support of their capital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jinsi ya kuacha porn 1. kwanza, lazima ukubali uraibu upo. wengi ambao wamenaswa katika mtego wa uraibu watakataa kwa uthabiti tatizo hilo. afichaye makosa yake hatafanikiwa, bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema. – mithali 28:13 2. ni lazima utambue kwamba unachofanya si sahihi. walevi hutafuta njia ya kuhalalisha shida yao akilini mwao. maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha

English

how to quit porn 1. first, you must acknowledge the addiction exists. many who are caught in the trap of addiction will adamantly deny the problem. he who conceals his transgressions will not prosper, but he who confesses and forsakes them will find compassion. – proverbs 28:13 2. you must recognize that what you are doing is wrong. addicts find a way to justify their problem in their mind. for all that is in the world, the lust of the flesh and the lust of the eyes and the boastful pride of

Last Update: 2021-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,770,838,635 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK