Results for kuwajengea translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kuwajengea

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

lengo ni kuwajengea ujuzi unaotakiwa watumishi wa jeshi, polisi na watumishi wengine wa umma ili kukabiliana na changamoto zilizopo na masuala ya amani na usalama kwa siku za usoni barani afrika.

English

its goal is to provide the army, police and civil servants with the necessary skills to respond to current challenges and future peace and security issues in africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kituo cha hifadhi ya tembo kinajitofautisha na mashirika mengine ya utalii wa tembo kwa kuwatunza tembo kwa kuwajengea mazingira mazuri ya kuzaliana, uangalizi makini na wa karibu, matibabu na uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.

English

elephant conservation center differentiates itself from elephant tourist camps by being a haven for elephant reproduction, lactation, convalescence and disease diagnosis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lengo la mradi ni kuwezesha kutengenezwa kwa mtandao unaofanya kazi wenye wanachama wenye ujuzi ili kusababisha mabadiliko ya mitazamo na mienendo ya kimila, ikiwa ni pamoja na sera na mbinu za kupambana na kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia (lengo ni) kutengeneza wataalam muhimu 50 wa ngazi za chini na kuwajengea uwezo wa mbinu za kuhakikisha jinsia inazingatiwa wakati wa kuanzisha miradi na program kila mwaka, na asasi zisizo za kiserikali kufikia malengo yake kwa kuwahamasisha waratibu wake kuwezesha matumizi sahihi ya mbinu (kujifunza zana na kutambua maeneo ili kutambua hatua zinazotakikana za kijinsia).

English

the aim of the project is to enable the creation of a functional network with competent members in order to influence traditional attitudes/practices, as well as local policies and strategies which fight against gender inequalities (the objective is to) create 50 local key players with strategies to ensure gender is taken into account when launching projects and programs each year, and for the ngo to get closer to its targets by organising supervisors to facilitate the effective application of the approach (learning the tools and identifying pertinent gender actions).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,714,449 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK