From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na hawatoacha kuwamo humo.
and from it they shall never be absent.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wanasema kwa midomo yao yasiyo kuwamo nyoyoni mwao.
the words they utter bear no relation to what is in their hearts.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wanasema kwa ndimi zao yasiyo kuwamo katika nyoyo zao.
so plead [to allah] for our forgiveness!’ they will say with their tongues what is not in their hearts.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana.
"and we shall remove from their breasts any sense of injury (that they may have), (so they will be like) brothers facing each other on thrones.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na yule bibi wa nyumba aliyo kuwamo yusuf alimtamani kinyume cha nafsi yake, na akafunga milango.
and she, in whose house he was, asked of him an evil act.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wanasema kwa midomo yao yasiyo kuwamo nyoyoni mwao. na mwenyezi mungu anajua kabisa wanayo yaficha.
they say with their mouths that which is not in their hearts and allah knoweth best that which they conceal.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
lau wangeli kuwamo humo miungu wengine isipo kuwa mwenyezi mungu basi bila ya shaka hizo mbingu na ardhi zingeli fisidika.
had there been any gods in the heavens and the earth apart from allah, the order of both the heavens and the earth would have gone to ruins.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
msiupende ulimwengu, wala chochote kilicho cha ulimwengu. mtu anayeupenda ulimwengu, upendo wa baba hauwezi kuwamo ndani yake.
love not the world, neither the things that are in the world. if any man love the world, the love of the father is not in him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
na yule bibi wa nyumba aliyo kuwamo yusuf alimtamani kinyume cha nafsi yake, na akafunga milango. akamwambia: njoo!
and it so happened that the lady in whose house joseph was living, sought to tempt him to herself, and one day bolting the doors she said: "come on now!"
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
watakuambia mabedui walio baki nyuma: yametushughulisha mali yetu na ahali zetu, basi tuombee msamaha. wanasema kwa ndimi zao yasiyo kuwamo katika nyoyo zao.
the bedouins who lagged behind will say to you: 'we were occupied with our possessions and families, so ask allah to forgive us' but they say with theirtongues what they do not mean in their hearts.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi.
after a time satan tempted them with that tree to disobey. our command and brought them out of the state they were in, and we decreed, "now, go down all of you from here; you are enemies of one another.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. katika ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda.
but satan caused them both to slip through this and thus brought about the loss of their former state. we said, "go down from here as enemies to each other; and on earth you shall have your abode and your livelihood for a while!"
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting