Results for kuwapa ushauri juu ya madawa ya k... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuwapa ushauri juu ya madawa ya kilimo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wiki iliyopita, picha za vita kati ya wasafirishaji na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya mjini rio de janeiro zilitapakaa duniani.

English

last week, images of a war between drug traffickers and dealers in rio de janeiro spread across the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utafiti unaonyesha kwamba ushoga una madhara mabaya yafuatayo pamoja na uwezekano wa matumizi zaidi ya nguvu, magonjwa ya zinaa, na matumizi ya madawa ya kulevya.

English

research indicates that the homosexuality has a variety of negative consequences including higher incidences of violence, sexually transmitted diseases, and use of drugs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa makala, serikali za marekani na uingereza zina hifadhi ya madawa ya tamifluiflu yenye thamani ya mabilioni ya dola ambazo lazima wazitumie ndani ya miezi michache ijayo, vinginevyo yatapita muda wake.

English

according to the article, the us and uk governments have billions of dollars worth of tamifluiflu stock that they must use within the next few months, or they’ll expire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama watoto wa namna hii watakutana na ubaguzi wa rangi (na matatizo mengine ya kimfumo), basi wana uwezekano mkubwa wa kukumbana na msongo, matatizo ya kiafya yanayohusiana na msongo wa mawazo, kama vile uvutaji sigara na matumizi ya madawa ya kulevya.

English

if children of interracial marriages encounter racism (and other structural disadvantages), then they’re more likely to experience stress, and health-related risks due to that increased stress, such as smoking and drinking.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

geraldin rodríguez, mwajentina aliye kwenye jela za ecuador kwa sababu ya biashara ya madawa ya kulevya anamueleza marcos brugiati, mwandishi mshiriki katika chapisho la mtandaoni linalohusiana na masuala ya sanaa liitwalo plastica-argentina, masimulizi kuhusu kuigiza na kufanya maonyesho ndani ya jela, kupata ujauzito gerezani na kumpata mwanae.

English

geraldin rodríguez, an argentinean spending time in an ecuadorian jail due to drug trafficking tells marcos brugiati, a writer who contributes with the art related online publication plastica-argentina, the story about acting and performing in jail, getting pregnant in prison and having her child.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,747,350,603 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK