Results for kuzusha translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuzusha

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

lakini wayahudi wakaona wivu; wakawakodi wafidhuli sokoni, wakafanya kikundi na kuzusha fujo mjini kote. wakaivamia nyumba ya yasoni wakitumaini kuwapata humo paulo na sila ili wawalete hadharani.

English

but the jews which believed not, moved with envy, took unto them certain lewd fellows of the baser sort, and gathered a company, and set all the city on an uproar, and assaulted the house of jason, and sought to bring them out to the people.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matokeo yake: madaktari wasio na mipaka katika jiji la macenta walipotoshwa na watu walionadi kuwa, ugonjwa huu ulizushiwa tu kuwepo, pamoja na kuwa hakuna mtu ambaye angaliweza kufaidika kwa kutunga na kuzusha kupepo kwa ugonjwa wa ebola.

English

the result: the doctors without borders centers in the city of macenta were vandalized by people who claimed that the disease was a lie (ed's note: the facility has resumed its activity). , even though no one could possibly benefit from having invented it as a myth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maoni yao huanzia kwenye imani za kuzusha mambo –mfano kuamini kwamba madhehebu mengine nje yao yanapanga kuwaangusha –hadi kwenye imani kwamba marekani inawachukia waislamu, na kwamba kitendo cha nchi hiyo kuikumbatia israel ni ushahidi wa hili, na zaidi uvamizi wa afghanistan na iraq.

English

their opinions range from far-fetched conspiracies—in which islamic sects other than the one they belong to are plotting their downfall—to the belief that america hates muslims, that its support of israel is evidence of this, further proven by the invasions of afghanistan and iraq.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,735,120,288 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK