Results for kwa uchambuzi, ramani na hariri translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kwa uchambuzi, ramani na hariri

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

watavaa hariri nyepesi na hariri nzito wakikabiliana,

English

attired in fine silk and brocade, facing each other.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchambuzi wa mitindo ya usafiri kwa ndege ilitumiwa kuweka kwenye ramani na kutabiri mitindo ya kuenea na ilichapishwa katika jarida la usafiri wa kimatibabu katikati ya januari 2020.

English

an analysis of air travel patterns was used to map and predict patterns of spread and was published in the journal of travel medicine in mid-january 2020.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi, na hariri nzito ya at'ilasi.

English

their garments will be of fine green silk, and gold embroidery.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa ramani, na japokuwa halijatambulishwa rasmi kwa jina kwenye taarifa nyingi za habari , jimbo la leogane huko haiti ndilo lilikuwa kitovu cha tetemeko, na lina sehemu kadhaa zinazokaliwa na watu wengi.

English

according to the map, the hatian state of leogane, though it has not been identified by name in many news reports, was the quake’s epicenter, and contains several heavily-populated areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mafunzo ya openstreetmap ya uwekaji ramani na femmes & tic niger (iliyoanzishwa na fatima alher).

English

openstreetmap mapping workshop with femmes & tic niger (created by fatima alher), via mapping for niger on facebook.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakati vyombo vya habari vikuu uarabuni vimeyapokea mawasiliano ya siri ya ubalozi wa marekani yaliyotolewa jana kwa bega baridi, wanablogu na watumiaji wa twita kutoka mashariki ya kati walipata habari zinazohitajika sana kwa uchambuzi.

English

while mainstream media across the arab world gave the secret us embassy cables released yesterday the cold shoulder, bloggers and twitter users from the middle east found much needed material to chew on.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jukwaa la msumbiji liitwalo olho cidadão (jicho la wananchi) lilizindua blogu mpya tarhe 2 aprili, 2013, kwa uchambuzi wa uwepo wa vyama vya siasa mtandaoni .

English

mozambican platform olho cidadão (eye of the citizen) launched a new blog on april 2, 2013, with an analysis of the presence of political parties on the internet .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

karibu ya juma moja baada ya janga kutokea - na matetemeko yaliyofuatia ambayo yalifanana na matetemeko mengine makuu – ramani na taswira za setilaiti zinajidhihirisha kuwa ni taarifa pekee ambazo zinaweza kutegemewa.

English

nearly a week after the disaster — and aftershocks equal to major temblors — the maps and satellite imagery are proving some of the most reliable information available.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walianza na wanahabari vijana wawili tu na hivi sasa timu hiyo ina vijana wanaofikia 14 ambao wanarekodi video hizo, wanahariri na kuzipakia kwenye mtandao wa intaneti: siyo tu kwenye tovuti yao kibera news network bali pia kwenye voice of kibera, tovuti ambayo inaorodhesha video zao kwenye ramani na pia habari nyingine zinazotumwa na watu kwa kutumia ujumbe mfupi wa simu za mkononi na hata kwa njia nyingine nyingine.

English

they began with just two young journalists and now the team is up to 14 young people who record the videos, edit and upload them to the web: not only to their own website kibera news network but also to voice of kibera, a site which maps their videos and also other news sent in by people via sms and other mediums.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,777,265,199 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK