Results for kwanini wanawake wa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kwanini wanawake wa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wanawake wa kwaheri

English

goodbye ladies

Last Update: 2023-06-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi ni wanawake wa kimisri.

English

we are egyptian women.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninataka kuuonesha ulimwengu kuhusu maisha ya wanawake wa papua.

English

i want to show the world the lives of papuan women.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je kuna uhusiano upi baina yao na wanawake wa kuvutia waliojibadilisha?

English

so what is the connection with those wonderfully disguised women?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kw ahiyo wanawake wa kiislam mjini jos waliamua kufanya mkutano wao wenyewe.

English

so muslim women in jos held their own, separate rally.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkutano wa wanawake wa nchi zizuingumzao kifaransa 2014 unafunguliwa leo jijini kinshasa, drc.

English

the 2014 forum for francophone women opens today in kinshasa, drc.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wanawake wa mjini wakawa wanasema: mke wa mheshimiwa anamtamani mtumishi wake!

English

and women in the city said: the ruler's wife is asking of her slave-boy an ill-deed.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

awdf ni mfuko wa afrika nzima wa kutoa misaada kwa wanawake wa ki-afrika.

English

awdf is an africa-wide grant-making foundation for african women.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi, huyu laila ni nani na kwa nini wasichana na wanawake wa kimisri wanapenda kufananishwa naye?

English

who is laila and why do egyptian girls and women associate themselves with her?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuwaelimisha wasichana wetu leo, tunawawezesha wanawake wa kesho, na hivo, familia na jamii zao.

English

by educating our girls today, we are empowering women of tomorrow, and therefore, their families and communities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mampi mukape alikataliwa na watu wake mwenyewe na wanawake wa zambia walikuwa mstari wa mbele katika kumpiga vita.

English

mampi mukape rejected by her own people and zambian women were in forefront of decampaigning her.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wasichana na wanawake wa umri wa miaka 15 mpaka 19 walikuwa kundi kubwa zaidi lililoathirika na visa hivyo vilivyotaarifiwa.

English

girls and women aged 15–19 make a majority of those reported cases.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nafikiri ni jambo la kufikirika hivi sasa kuwaunga mkono wanawake wa zambia hasa kwa sababu hawawezi kuungana mkono wao kwa wao.

English

i think its an illusion to support women in zambia when they cant support each other.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wanawake wa mjini wakawa wanasema: mke wa mheshimiwa anamtamani mtumishi wake! hakika amesalitika kwa mapenzi.

English

and women in the city said: "the wife of al-'aziz is seeking to seduce her (slave) young man, indeed she loves him violently; verily we see her in plain error."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maono ya awdf ni kwa wanawake wa afrika kuishi katika dunia yenye haki za kijamii, usawa na heshima kwa haki za binadamu za wanawake.

English

the vision of the awdf is for african women to live in a world in which there is social justice, equality and respect for women’s human rights.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

video hii ya wanawake wa kimisri wakimwomba rais wa marekani barak obama "kufunga mdomo wake" inasambaa sana mtandaoni:

English

this video of an egyptian woman asking us president barak obama to "shut up your mouse " is making the rounds:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

bloga kutoka riyadh, sweet anger amechoshwa na wageni wanaodhani kuwa wanawake wa kisaudia wanakandamizwa, wakati hawajui lolote kuhusu maisha yao au jamii:

English

riyadh blogger sweet anger is fed up of foreigners assuming that saudi women are oppressed, while knowing nothing about their lives or society:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiwa mtetezi wa haki za wanawake wa ki-afrika kusini, jennifer thorpe alibaini kwamba mazingira anayoiishi yanaathiri sana maisha ya wanawake kwa kiasi kikubwa.

English

being a feminist south african, jennifer thorpe noted that the environment she lives in affects women’s lives most tangibly.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anitha s. anaandika kukuhusiana na wanawake hao katika makala yenye kichwa cha habari wanawake wa koodankulam kutoka gerezani: mwambie kila mmja kuwa bado tungali huku!:

English

anitha s. writes about them in a post titled 'koodankulam women from prison: tell everyone we are still here !:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndoa za mitala pia zinaongezeka - asasi ya msaada wa sheria ya jumuiya ya haki za wanawake wa indonesia ilipokea taarifa 87 za mitala mwaka 2008, ongezeko kutoka taarifa 16 katika mwaka 2007.

English

polygamous marriages are also increasing - the legal aid foundation of the indonesian women's association for justice received 87 reports of polygamy in 2008, up from 16 in 2007.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,779,319,475 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK