From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
"washindi" wengine katika uchukuaji taarifa za matukio hayo ni blogu za ndani ya nchi kama vile namba.kz, kloop.kg, issyk-kulpress.kg (vilevile tovuti za habari za kawaida ama vile internews.kg, neweurasia.net na 24.kg), jukwaa la diesel.elcat.kg na kamera ya mtandaoni isiyotoa maneno (webcam) ikionyesha viwanja vya wazi vya ala-too (picha zake zilinaswa na kutumwa na wanablogu wengi).
another "winners" in the coverage are the local blog-portals namba.kz, kloop.kg, issyk-kulpress.kg (as well as traditional news sites like internews.kg, neweurasia.net and 24.kg), forum diesel.elcat.kg and a wordless webcam showing ala-too square (its screenshots were captured and transmitted by many bloggers).