From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
jana, leo, kesho na kesho kutwa
yesterday, today, tomorrow and the day after tomorrow
Last Update: 2020-04-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
zoezi la mnada inafanyika leo na kesho
today and tomorrow
Last Update: 2024-04-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tovuti zilizozuiwa: zipitie leo, na labda sio kesho
restricted sites: access today, perhaps not tomorrow
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mpendwa nimechoka sana na kesho naamka mapema
i feel sleepy
Last Update: 2020-07-31
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nimechoka sana leo na kazi kipenzi changu
i'm so tired today
Last Update: 2023-11-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.
and we being exceedingly tossed with a tempest, the next day they lightened the ship;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yesu kristo ni yuleyule, jana, leo na milele.
jesus christ the same yesterday, and to day, and for ever.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shule imefunguliwa leo na kidato cha kwanza wameanza kuwasili
school was opened
Last Update: 2023-01-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kutoka troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka samothrake, na kesho yake tukatia nanga neapoli.
therefore loosing from troas, we came with a straight course to samothracia, and the next day to neapolis;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, kwa leo, kesho na kesho kutwa, ni lazima niendelee na safari yangu, kwa sababu si sawa nabii auawe nje ya yerusalemu.
nevertheless i must walk to day, and to morrow, and the day following: for it cannot be that a prophet perish out of jerusalem.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
oh bwana shukrani kwa msaada wako kwangu leo na kwa njia ya maisha yangu amiina
oh lord thanks for your support to me today and through my life amen
Last Update: 2022-08-30
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
furahia siku yako ya leo na uwe mtu wa furaha na mafanikio daima emm
enjoy your day today and be a happy person always emm
Last Update: 2025-03-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mungu akulinde na kukutunze na kukulinda leo na siku zote were na uzao wake na kuwajalia haha za mioyo yeno
Last Update: 2024-03-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nikarudia kwamba alikuwa si muungwana na kwamba asingeipata fedha yangu leo na hata siku nyingine na kuondoka.
i repeated that he was rude and wouldn't get my money today or in the future and left.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
zaidi ya mara moja tulijisemea, "je watu hawa watakula wapi usiku wa leo? na siku inayofuata na inayofuata?"
more than once, we said, “but how are people going to eat tonight? and the next day and the next day?”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na pale shet'ani alipo wapambia vitendo vyao, na akawaambia: hapana watu wa kukushindeni hii leo, na hali mimi ni mlinzi wenu.
and (remember) when shaitan (satan) made their (evil) deeds seem fair to them and said, "no one of mankind can overcome you this day (of the battle of badr) and verily, i am your neighbour (for each and every help)."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
haidhuru, inuka sasa; simama wima. nimekutokea ili nikuweke rasmi kuwa mtumishi wangu. utawathibitishia watu wengine mambo uliyoyaona leo na yale ambayo bado nitakuonyesha.
but rise, and stand upon thy feet: for i have appeared unto thee for this purpose, to make thee a minister and a witness both of these things which thou hast seen, and of those things in the which i will appear unto thee;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mradi huo ulizinduliwa leo na ifikapo mwezi juni mwaka huu (ndio, ndani ya miezi mitatu), shule 245 za mfano zinatarajiwa kuwa zimeunganishwa tayari.
the project was launched today and by june this year (yes, in 3 months), the pilot of 245 schools is expected to be done.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakika, kwa mwezi wote uliopita, raia wa mtandaoni wa kirusi wamekuwa wakipumbazwa na chaguzi kadhaa - uchaguzi wa mtandaoni kwa baraza la uratibu wa upinzani, kuanzia leo na kuishia tarehe 21 oktoba.
indeed, for the past month, russian netizens have been distracted by a different set of elections — the online elections for the coordinating council of the opposition, beginning today and ending on october 21.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na pale shet'ani alipo wapambia vitendo vyao, na akawaambia: hapana watu wa kukushindeni hii leo, na hali mimi ni mlinzi wenu. yalipo onana majeshi mawili, akarudi nyuma, na akasema: mimi si pamoja nanyi.
and recall what time the satan made their works fair- seeming unto them and said: there is none of mankind to overcome you to- day, and verily i am your neighbour.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: