Results for leo niliingiza taarifa mbalimbali... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

leo niliingiza taarifa mbalimbali kwenye computer

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

matamshi ya mugabe yamesababisha joto la maoni mbalimbali kwenye mtandao wa twita.

English

mugabe's comments have received mixed reactions on twitter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika blogu-tovuti ya haiti, familia ya blesh nayo inatuma taarifa mbalimbali:

English

blesh family in haiti weblog also posts information:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, kuna vizuizi kadhaa vya kiusalama jijini tehran pamoja na kuwepo kwa ulinzi mkali kabisa.

English

according to several reports there are several security check points in tehran and a heavy security presence in tehran.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, wachezaji walionyesha nia ya kutaka kuendelea na mashindano, lakini serikali ya togo iliamua kuirudisha nyumbani timu hiyo siku ya jumamosi.

English

although according to news reports, many players had indicated they wanted to keep playing, the togolese government recalled the team on saturday.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

video hiyo ya sekunde 46, ilipandishwa na watu mbalimbali kwenye mtandao wa youtube, imekuwa ni mjadala wa siku miongoni mwa wanablogu wa ki-saudi leo.

English

the 46-second video, uploaded on several accounts on youtube, has been the talk of the saudi blogosphere today.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

taarifa mbalimbali zinawahusisha waasi walio na uhusiano wa karibu na serikali ya urusi ambao kwa bahati mbaya waliishambulia ndege ya abiria, hata hivyo, kiongozi wa waasi hao amekanusha taarifa hizi.

English

many reports have pointed to pro-russian insurgents mistakenly shooting down the passenger jet, but rebel leaders have denied this.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tume ya udhibiti wa mawasiliano nchini bangladeshi imeomba taarifa za idadi fulani ya wanablogu kutoka katika sehemu mbalimbali zitumiwazo na wanablogu kuweka taarifa mbalimbali ikiwa ni juhudi za kutaka kuwanyamazisha waandishi fulani wanaosadikiwa kuukashfu uislamu au kutaka kuiangusha serikali.

English

the bangladesh telecommunication regulatory commission, a member of the committee, has requested information on a number of bloggers from different blogging platforms in an effort to ban certain writers considered insulting to islam or anarchistic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@jowac50: rt #nairobiblast rt #nairobiblast mkuu wa polisi mathew iteere anasema mlipuko ulisababishwa na hitilafu ya umeme –kwa mujibu wa taarifa mbalimbali

English

@jowac50: rt #nairobiblast police boss mathew iteere says explosion caused by electrical fault - reports

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mukhtadha huu, shule zina wajibu wa hatari, kama ilivyokuwa (na bado ndivyo ilivyo) moja ya milango mikubwa ya kuingilia "si tu kwenye ajira katika sekta ya kisasa, lakini pia kwenda kwenye nafsi mbalimbali kwenye vyombo vya serikali na madaraka ya kisiasa, hali inayoakisi mageuzi ya jamii za bara la ulaya".

English

in this context, school plays a very dangerous role, as it was (and still is) one of the keys of entry "not only to jobs in the modern sector, but also to positions in the state apparatus and political power, mirroring the evolution of european societies".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,793,992,111 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK