Ask Google

Results for linaloongozwa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Nchini Misri, udhalilishaji wa kijinsia ni tatizo kubwa, na ndilo jambo linaloongozwa kupingwa na Wamisri.

English

In Egypt, sexual harassment is a serious problem, and one which more and more Egyptians are speaking out against.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hata kabla matokeo hayajafika, kwa kuangalia tu mwelekeo, kundi la vyama vya mseto la NDA linaloongozwa na chama cha BJP limetangaza rasmi kushindwa kwake katika uchaguzi.

English

Even before all the results are in, just going by the trends, the BJP-led NDA alliance has publicly conceded defeat.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Lilijengwa miaka 120 iliyopita, Sinagogi la Musmeah Yeshua lililoko eneo la Yangon ni Sinagogi pekee la wayahudi lililoyobaki katika eneo linaloongozwa na waumini wa dini ya Kibudha waishio nchini Myanmar.

English

Built 120 years ago, the Musmeah Yeshua synagogue in Yangon is the last remaining Jewish synagogue in Buddhist-dominated Myanmar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Miezi miwili iliyopita mapigano yamezuka tena katika jimbo la mashariki la Kivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya kundi la upinzani linaloongozwa na Jenerali laurtent Nkunda na majeshi ya serikali, kinyume na makubaliano ya amani yaliyotiwa saini mwezi januari.

English

Two months ago fighting resumed in the DR Congo's Eastern province of North Kivu between the rebel group led by Laurent Nkunda and government forces, in violation of a peace accord signed in January.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Miongoni mwa wajumbe hao 10 lilikuwepo kundi la ‘Yedyniy Tsentr' linaloongozwa na mkuu wa sekretarieti ya rais Viktor Baloha pamoja na kaka yake Yuschenko, Petro.

English

Amongst the 10 were presidential secretariat head Viktor Baloha's 'Yedyniy Tsentr' group, and Yushchenko's brother Petro.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ngwende anaendelea kuelea kile kinachomaanishwa na katiba inayotokana na watu katika nchi ambayo Baraza la Mawaziri linaloongozwa na rais limefanya wajibu wake vya kutosha katika kutengeneza katiba kwa njia ya kutoa vipengele ambavyo wananchi walivipendekeza na kuviondoa vile vinavyowapendelea watawala:

English

Ngwende goes on to explain what is meant by a people-driven constitution in a country where Cabinet with the President as the head has a played a bigger role in the enactment of constitutions by excluding clauses that people had recommended and infusing those favouring the rulers:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mradi huu unamilikiwa na kundi la wapiga picha 10 wanaotoka nje pamoja na wale wa Kathmandu, linaloongozwa na mpiga picha Sumit Dayal na mwandishi Tara Bedi, ambaye alizindua mradi huu siku chache mara baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi la tarehe 25 Aprili.

English

The project belongs to a team of ten photographers in and around Kathmandu, led by photographer Sumit Dayal and writer Tara Bedi, who launched the initiative shortly after the April 25 earthquake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kundi la Harakati kwa ajili ya Amani, Haki na Utu linaloongozwa na mtunzi wa mashairi wa zamaniJavier Sicilia lilisherehekea mwaka mmoja mnamo tarehe 28 Machi, 2012 tangu kuundwa kwake; kwa maneno mengine, mwaka tayari umekatika tangu kuuwawa kwa mtoto wake wa kiume Juan Francisco Sicilia ambaye mwili wake ulikutwa miongoni mwa wahanga wa vurugu za nchini Mexico katika jamii ya Las Brisas huko Temixco, Morelos.

English

The Movement for Peace with Justice and Dignity lead by former poet Javier Sicilia celebrated its first birthday on March 28, 2012; in other words, it's been a year since the assassination of his son Juan Francisco Sicilia whose body was found along with other victims of the violence in Mexico in the community of Las Brisas in Temixco, Morelos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK