From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maana ýa bega kwa bega
ýa mean shoulder to shoulder
Last Update: 2022-09-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bega kwa bega
shoulder to shoulder
Last Update: 2018-10-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muungano wa kimataifa wa kukomesha vikwazo haramu vinavyoizingira gaza unaandaa kikundi cha kimataifa kitakachoandamana bega kwa bega na watu wa gaza, katika onyesho la amani la mshikamano ambalo lina matumaini ya kumaliza vikwazo huko gaza.
the international coalition to end the illegal siege of gaza is mobilising an international contingent to march alongside the people of gaza, in a non-violent show of solidarity and with the hope of ending the gaza blockade.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati vyombo vya habari vikuu uarabuni vimeyapokea mawasiliano ya siri ya ubalozi wa marekani yaliyotolewa jana kwa bega baridi, wanablogu na watumiaji wa twita kutoka mashariki ya kati walipata habari zinazohitajika sana kwa uchambuzi.
while mainstream media across the arab world gave the secret us embassy cables released yesterday the cold shoulder, bloggers and twitter users from the middle east found much needed material to chew on.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo ujasiri wa wanawake waliojitokeza kutokas kwenye vivuli haujapewa nafasi ya kutosha kwenye vyombo vya habari, kwa mujibu wa megan kearns anayeandika kwenye "mapambano mitaani: wanawake wa misri wanaipinga serikali bega kwa bega na wanaume lakini kuna picha chache tu za wananawake":
yet women’s courage to step out of the shadows has not been given enough media attention, according to megan kearns who writes in "taking it to the streets: egyptian women protest the government alongside the men yet few images of women":
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
bila kujali wasiwasi juu ya idadi inayokubaliana na maandamano, haya kwa kweli ni maandamano ya halaiki, na itakuwa mara ya kwanza kwa wapalestina kukusanyika pamoja kwa idadi kubwa pamoja na waunga mkono wa kimataifa: kuna takriban washiriki 1,300 wa kimataifa watakaoshiriki, ambao watakutana mjini cairo na kuandamana bega kwa bega na wakazi wanaokadiriwa kufikia 50,000 pindi watakapoingia gaza kupitia rafah.
despite concerns over the numbers endorsing the march, this is indeed a mass demonstration, and is the first time that palestinians will be coming together in such large numbers along with international support: there are an estimated 1,300 international participants participating, who will meet in cairo and march alongside a predicated 50,000 local residents once they have crossed into gaza through rafah.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: