From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na tukawawekea miadi ya maangamizo yao.
and we appointed a fixed time for their destruction.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na hiyo miungu haikuwazidishia ila maangamizo tu.
and they did not increase them in other than ruin.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na walio kufuru, basi kwao ni maangamizo, na atavipoteza vitendo vyao.
and (as for) those who disbelieve, for them is destruction and he has made their deeds ineffective.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi hapo kauli huthibiti juu ya mji huo, nasi tukauangamiza kwa maangamizo makubwa.
but they commit transgression in it, and so the word becomes due against it, and we destroy it utterly.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na miji hiyo tuliwaangamiza watu wake walipo dhulumu. na tukawawekea miadi ya maangamizo yao.
and (all) those townships! we destroyed them when they did wrong, and we appointed a fixed time for their destruction.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na toeni katika njia ya mwenyezi mungu, wala msijitie kwa mikono yenu katika maangamizo.
give money for the cause of god but do not push yourselves into perdition.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na toeni katika njia ya mwenyezi mungu, wala msijitie kwa mikono yenu katika maangamizo. na fanyeni wema.
and expend in the way of allah, and cast not yourselves with your hands into perdition, and do well. verily allah loveth the well- doers,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya mwenyezi mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo?
beholdest thou not those who returned the favour of allah with infidelity and caused their people to alight in the dwelling of perdition:
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na miungu yao waliyo kuwa wakiiomba badala ya mwenyezi mungu haikuwafaa kitu ilipo kuja amri ya mola wako mlezi. na hiyo miungu haikuwazidishia ila maangamizo tu.
so their aliha (gods), other than allah, whom they invoked, profited them naught when there came the command of your lord, nor did they add aught (to their lot) but destruction.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na pindi tukitaka kuuteketeza mji huwaamrisha wale wenye starehe na taanusi, lakini wao huendelea kutenda maovu humo. basi hapo kauli huthibiti juu ya mji huo, nasi tukauangamiza kwa maangamizo makubwa.
and when we desire to destroy a city, we command its men who live at ease, and they commit ungodliness therein, then the word is realized against it, and we destroy it utterly.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wakasema: apishaneni kwa mwenyezi mungu tutamshambulia usiku yeye na ahali zake; kisha tutamwambia mrithi wake: sisi hatukuona maangamizo ya watu wake, na sisi bila ya shaka tunasema kweli.
swearing by allah they said to one another, “we will indeed attack him and his family at night, and then say to his heir, ‘we were not present at the time of slaying of this household, and indeed we are truthful.’”
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: