From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maarifa
so then the
Last Update: 2023-03-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ongeza maarifa
that's very good
Last Update: 2021-07-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maarifa ya jamii
social knowledge
Last Update: 2022-01-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kumcha mwenyezi mungu ni msingi wa maarifa
nyakati ngumu ndizo zinazokuonesha marafiki wa kweli
Last Update: 2023-05-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ukue katika kimo na maarifa ya kumpendeza mungu na binadamu
grow in stature and knowledge
Last Update: 2023-03-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hiyo, nitajipanga kuelekeza maarifa na uwezo wangu wote ili kuisaidia nchi.
therefore, i'll concentrate in exerting all my knowledge and ability to help the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siku moja kabla hajachukua uamuzi huo alimwambia mama yake kwamba maarifa hayawezi kubadili majaaliwa.
she told her mother that knowledge cannot change destiny on the day before she committed suicide.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wameweza pia kutumia maarifa waliyojifunza kwa kuunganisha ramani walizoziandaa na mahitaji muhimu ya jamii.
they have also used their skills to link the maps created directly with the needs of the local communities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa upande mwingine, utafiti tumizi hujikita katika matumizi na uhitajikaji wa maarifa kwa jamii.
on the other hand, applied research focuses in the application and usefulness of these knowledges on the population.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuwa kituo cha mafunzo chenye ushindani wa kitaifa kwa ajili ya kutoa maarifa ya kiufundi na ujuzi kwa maendeleo endelevu
to be a nationally competitive training centre for imparting technical knowledge and skills for sustainable development
Last Update: 2021-11-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anaweza kuanza kuzungumzia jua kwa mfano, na anaweza kuhitimisha kwa kuiongelea yoga, maarifa ambayo huwa anayafundisha gerezani.
he can start talking about the sun, for example, and he might end up talking about yoga, a discipline that he teaches in prison.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa uwazi, maarifa ya sasa kuhusu asili ya wanyama ya virusi vya hcov vinavyojulikana yamewekwa kwa njia ya muhtasari katika mchoro wa 1 na jedwali la 2.
for clarity, the current knowledge on animal origins of known hcovs is summarized in figure 1 and table 2.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama watoa elimu wa kipindi kirefu, maarifa na utendaji, kuwajeruhi ni kuharibu msingi wa utamaduni ambao ndio tegemeo la maendeleo endelevu ya nchi yetu.
as the living transmitters of time-tested knowledge systems, skills and practices, to wound them is to damage the cultural basis for the sustainable development of our nation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mchezo huo uliodumu bila magoli mpaka dakika ya mwisho ambapo diego maradona alimpasia mpira claudio caniggia, aliyeweza kuupachika wavuni na kumzidi maarifa mlinda mlango wa brazili taffarel.
that match remained goalless until the final minutes when diego maradona passed the ball to claudio caniggia, who managed to score on brazilian goalkeeper taffarel.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huko karachi, kampala, cairo na skopje washiriki wengi tayari wamekutana na wanachama wa global voices waliowezesha mafunzo ya vikundi na kushirikishana maarifa katika tasnia ya uandishi wa kiraia.
in karachi, kampala, cairo and skopje dozens of participants have already met gv members who facilitated peer learning and knowledge sharing in the field of citizen media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unaulizwa kushiriki katika utafiti ili kujua maarifa ya uchunguzi wa saratani ya kizazi, imani, na tabia. lengo la mradi wa utafiti ni kuamua uhusiano kati ya maarifa na imani yako na tabia zako za uchunguzi
you are being asked to take part in a reasearch study to determine cervical cancer screening
Last Update: 2021-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
panga ratiba ya masomo ya programu za kupitia njia za kimtandao: panga majadiliano na washikadau kuchunguza muda inayowezekana shule zitafungwa na kuamua ikiwa programu za kupitia njia za kimtandao inafaa kuangazia kufunza maarifa mpya au kuimarisha maarifa ya wanafunzi ya vipindi vilivyopita.
plan the study schedule of the distance learning programmes: organise discussions with stakeholders to examine the possible duration of school closures and decide whether the distance learning programme should focus on teaching new knowledge or enhance students’ knowledge of prior lessons.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tangu wakati huo, maarifa zaidi yalikusanywa kupitia utafiti wa kina kuhusu virusi vya hcov-229e na hcov-oc43, vyote vikiwa ambavyo husababisha dalili za udhaifu wa kibinafsi.
since then, more knowledge was accumulated through extensive studies on hcov-229e and hcov-oc43, both of which cause self-limiting symptoms.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gumzo la tarehe 27 mwezi wa pili lilitoa tamko kama vile umuhimu wa kublogu kwa watu walioathirika na virusi vya ukimwi na jukumu katika upelekaji na ushawishi wa maarifa,lakini kikubwa lililenga kwenye muongozo wa kublogu vyema ,muongozo ulitengenezwa na global voices kutoa ushauri tunu jinsi ya kublogu kuhusu masuala ya virusi vya ukimwi na ukimwi.
the february 27th chat addressed issues such as why blogging can be important for people affected by hiv/aids and the vital roles of mentoring and advocacy, but it mainly focused on the blogging positively guide, a guide being created by global voices to provide valuable advice on how to blog about hiv/aids issues.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tafadhari rejea katika kichwa cha habari tajwa hapo juu chajieleza wazi wazi.nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu cha dodoma (udom) katika shahada ya kwanza ya elimu ya awali.mbali na shahada yangu ya kwanza ya elimu ya awali,pia nimeweza kujifunza vizuri na kuhusu mambo ya education career guidance and counseling, psychology, children's rights,ukatili wa kijinsia na vitendo viovu vinavyomnyima mwanadamu haki yake,vile ninayo maarifa kuhusiana na mambo ya jinsia na mengine mengi.nasikia shauku
please refer to the above article that makes it clear. i have completed my studies at the university of dodoma (udom) in a bachelor's degree in pre-school. in addition to my undergraduate degree, i have also been able to learn well and about education career guidance and counseling, psychology, children's rights, sexual violence and evil practices that deny man his rights, and i have knowledge about gender and more. i'm feeling passionate
Last Update: 2024-04-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: