From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
machimbo ya madini
quarry
Last Update: 2024-03-06
Usage Frequency: 1
Quality:
zambia: filamu yayoutube kuhusu athari za machimbo ya madini
zambia: youtube documentary on negative impact of copper mining · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ramani ya zambia kuonyesha maeneo yenye machimbo ya madini nchini humo.
map of zambia showing the copper mining area in zambia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
badala yake, bwana limebuniwa kudhibiti maji ya mto sanaga ili kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye mashine za kufua umeme zilizopo tayari na zile zinazokusudiwa kujengwa ili kutosheleza mkondo wa umeme wa kusini pamoja na mgodi wa machimbo ya madini ya aluminiam wa alucm unaotumia umeme zaidi nchini humo.
instead, the dam is designed to regulate the flow of the sanaga river in order to increase energy production from existing and proposed downstream hydropower plants serving the southern electricity grid and the country’s single largest electricity consumer, the alucam aluminum smelter.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alisema ajira za moja kwa moja kutoka kwenye visima vya kuchimba mafuta zinahitaji kiwango cha juu cha ujuzi, uwezo na sifa za kitaaluma, hivyo kuhitaji vijana kujiendeleza zaidi ili kuweza kufaidika kikamilifu na nafasi nyingi za kazi, ambazo zitatokana na machimbo hayo.
he said direct employment into the upstream oil industry required high level of professional competence and qualification, hence the need for the youth to improve themselves to be able to take full advantage of the numerous ancillary job opportunities, which would be generated by the emerging industry.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
historia ya miongo ya karibuni ya machimbo ya dhahabu ya pueblo viejo,ambayo hutoa oksidi ya dhahabu kwa upande wa juu na sulfidi ya dhahabu kwa upande wa chini, inaanzia mwaka 1975 chini ya shirika la maliasili la rosario, kampuni ambayo hapo baadaye ilikuja kumilikiwa na dola la dominika chini ya jina la rosario dominicana, ambapo shughuli zake zilisitishwa moja kwa moja mnamo mwaka 1999 kwa sababu za kiuchumi na kimazingira.
the contemporary history of the pueblo viejo gold mine, which produces gold oxide at the top and gold sulfide at the bottom, begins in 1975 with rosario resources corporation, a company that later passed into the hands of the dominican state under the name rosario dominicana, and whose operations ceased permanently in 1999 because of economic and environmental factors.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: