Results for maelekezo na miradi ya kujifanyia translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

maelekezo na miradi ya kujifanyia

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kusimamia miradi ya maendeleo

English

kukagua miradi mbalimbali inayoendelea kwenye kata ikiwemo mradi wa soko la kisasa

Last Update: 2023-09-10
Usage Frequency: 2
Quality:

Swahili

fursa za biashara na miradi

English

the level of education and knowledge after this training

Last Update: 2020-06-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufanya ziara kwenye miradi ya maendeleo

English

kuaga uongozi na ofisi ya utumishi

Last Update: 2021-11-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mashirika hayo yalitangaza hali nne katika miradi ya serikali:

English

the organisations declared eight conditions on governmental projects:

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, mradi huu wa maendeleo haukusimamishwa, na miradi ya maendeleo zaidi katika eneo hili inaendelea kubuniwa.

English

however, this development project was not dropped, and more development projects in this area are coming up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

muongo mmoja uliopita, mazingira ya kijamii na kiuchumi ya ki-afrika yalionekana kuwa mabaya kwa utengenezeaji na ukuuzaji wa miradi ya biashara.

English

a decade ago, the african socio-economic environment was considered unfavourable to the creation and development of business ventures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika makala zitakazofuata baadaye tutaangalia zaidi na hasa majadiliano ya mtandaoni pamoja na miradi ya kwenye intaneti inayotangaza uwazi na kupigana dhidi ya rushwa nchini naijeria na china.

English

in future posts we'll look more specifically at online discussions and internet-based projects to promote transparency and fight against corruption in nigeria and china.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

miradi ya ujanja ujanja kama hii itaimarisha mtazamo wa uliosambaa duniani kote kuwa wa-nigeria ni vichekesho tufundoshao kipofu lugha ya ishara.

English

such white elephant projects will only reinforce the perception of nigeria as a laughing stock of the rest of the world where we like to teach the blind sign language.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maendeleo haya yamekuja katika kipindi ambacho mikoa nchini china imeanza kufanya majaribio ya mfumo kama huo unaohitaji maafisa kutoa taarifa kuhusu vipato vya familia zao na miradi wanayoendesha.

English

this development comes at a time when counties across china begin to experiment with a similar system requiring officials to report their family income and investments.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

blogu ya vijanafm inaorodhesha miradi ya kibunifu ya kiteknolojia zinazohusisha utoaji taarifa wa mtu-kwa-mtu kuhusiana na masuala ya uchaguzi:

English

vijanafm blog lists technology initiatives that revolve around people-to-people reporting on election issues:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gharama ya visa maarufu vya ufisadi nchini kama golden berg, angloleasing, kashfa ya mahindi na mafuta, kashfa ya shilingi kwa dola ni kubwa sana. hebu tafakari kama hizi hela zingetumika kwa kuendeleza miradi ya maendeleo.

English

the combined cost of kenya’s prominent corruption scandals: goldenberg of the 90’s, anglo-leasing, maize and oil scandals of 2000’s and the dollar/kenyan shilling scandal of 2011 to the kenyan economy is no doubt significant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku ya januari 18 global voices itazindua mtandao wa teknolojia na uwazi, ambao ni utafiti wa pamoja wa kuorodhesha na kuiweka kwenye ramani miradi ya kwenye mtandao wa intaneti ambayo inatangaza na kutetea uwazi, uwajibikaji wa serikali, na makutano ya kijamii.

English

on january 18 global voices will launch the technology for transparency network, a collaborative research mapping of internet projects that promote greater transparency, government accountability, and civic engagement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kati ya vivutio vya mkutano huo kitakuwa ni kutangazwa kwa washindi wa tuzo ya kuvunja mipaka, tuzo mpya iliyoundwa na google pamoja na global voices ili kuenzi miradi ya kipekee katika wavuti iliyoanzishwa na watu au vikundi vinavyoonyesha ujasiri, ari na uwezo wa kutumia intaneti ili kukuza uhuru wa kujieleza.

English

among the highlights of the proceedings will be the announcement of the winners of the breaking borders award, a new prize created by google and global voices to honor outstanding web projects initiated by individuals or groups demonstrating courage, energy and resourcefulness in using the internet to promote freedom of expression.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa nyongeza, anasema barua pepe kutoka kwa africa2.0 kenya chapter, taasisi kwa ajili ya miradi ya kiafrika, ikichambua shambulio la garissa lilimkumbusha kwamba anatokana na kizazi ambacho afrika imekuwa ikikingoja kwa ajili ya kutekeleza mabadiliko chanya.

English

in addition, she says an email from africa2.0 kenya chapter, a foundation for african initiatives, commenting on the garissa violence reminded her that she belongs to the generation that africa has been waiting for to implement positive change.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kubadili hali hii, samiri, mwandishi wa blogu ya startup brics ilijikita kwenye miradi mipya katika nchi zinazoendelea, aliandaa safari za kiuchunguzi zilizoitwa mradi wa techafrique ili kugundua na kuorodhesha miradi iliyopo na ile mipa, miradi ya fablabs, na kwenye maeneo mengine yanayofanana na hayo katika ubunifu wa kiteknolojia katika nchi zizungumzao kifaransa pamoja na kenya.

English

to change this, samir, author of the blog startup brics that specializes in start-ups in the emerging countries, organized a field mission called the techafrique project to identify and list technology initiatives, start-ups, fablabs projects, and other co-working places of tech creativity in francophone africa and kenya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mapendekezo kwa ajili ya tuzo ya kuvunja mipaka yatafunguliwa leo (disemba 29, 2009), hii ni tuzo mpya aliyoundwa na google pamoja na global voices ili kuienzi miradi ya kwenye mtandao wa intaneti iliyoanzishwa na watu au vikundi ambavyo vinaonyesha ujasiri, ari na uwezo katika kutumia intaneti ili kukuza uhuru wa kujieleza.

English

nominations open today (december 29, 2009) for the breaking borders award, a new prize created by google and global voices to honor outstanding web projects initiated by individuals or groups that demonstrate courage, energy and resourcefulness in using the internet to promote freedom of expression.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

English

strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,794,230,107 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK