Results for maelekezo ya kuendesha translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

maelekezo ya kuendesha

English

driving instructions

Last Update: 2021-01-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wiki hii ijayo tutafuatilia maelekezo ya ziada kwenye wikimania na makongamano mengine ya kimkoa na jamii ya mada.

English

this coming week we will follow up with additional guidance on wikimania and other regional and thematic community conferences.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kikundi hicho kiliongeza kuwa mkataba wa ndoa “unatakiwa uwe kama pasi ya kusafiria au leseni ya kuendesha gari.

English

the group added that a marriage contract “should be just like a passport or driver’s license.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka saba cha somewhereinblog.net kwa serikali kutoa maelekezo ya maandishi ili kuadabisha wanablogu.

English

this is the first time in the over seven years of somewhereinblog.net that authorities have issued written instructions to discipline bloggers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

moyosore ayodele anajiuliza ni kwa namna gani boko haram wanaweza kudhibitiwa ndani ya wiki sita ikiwa ni baaada ya kuendesha matukio ya kigaidi kwa miaka sita:

English

moyosore ayodele also wonders how boko haram can be defeated in six weeks after terrorising the country for six years:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tembelea tovuti ya mkutano kwa habari zaidi juu ya malengo ya mkutano, programu ya matukio, maelekezo ya kujiandikisha na maelezo juu ya mji mchangamfu wa santiago.

English

visit the summit web site for background information on the goals of the meeting, the program of events, registration details and information about the vibrant city of santiago.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

samak alikuwa mwanasiasa aliyewachanganya wengi ambaye aliondolewa madarakani kisheria kutoka nafasi ya juu kabisa wakati mahakama ilipoamua kuwa alivunja sheria ya kuendesha kipindi cha runinga cha mapishi wakati akiwa anashikilia nafasi ya umma.

English

samak was a controversial political figure who was legally removed from the top post last year when the court ruled that he violated the law for hosting a cooking tv show while holding a public position.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

doc gurley alitafuta kwenye mtandao video ya maelekezo ya jinsi ya kujiongezea maji mwilini kwa njia ya kinywa (ort) ambayo angeliwaachia wafanyakazi wenzake pamoja na wagonjwa.

English

doc gurley looked around online for an instructional video on oral rehydration therapy (ort) that she could leave with her haitian colleagues and patients.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kampeni hiyo inadai masuala matatu makuu kutoka kwenye utawala wa obama: kutoa maelekezo ya kisera kwa mamlaka ya ki-rais kuzuia udukuzi na kufuatiliwa kwa waandishi na mashirika ya habari.

English

the campaign seeks three key commitments from the obama administration: issue a presidential policy directive prohibiting the hacking and surveillance of journalists and media organizations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, siku chache baadae, rais michael sata aliweka wazi kwamba ni kweli benki kuu ya zambia kwa maelekezo ya kilichokuwa chama cha upinzani nchini humo mmd, ilichapisha “noti bandia” ambazo inasemekana ziko kwenye mzunguko wa fedha.

English

however, a few days later, president michael sata disclosed that actually the bank of zambia under the direction of the then ruling mmd, printed “fake money” which is said to be in circulation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

1) ili kuhifadhi afya na usalama wa umma, na kuhakikisha mfumo wa kuwasilisha huduma ya agfya ya kuwahudumia wote, na kuwapa kipaumbele walio walio katika hatari kubwa na wanaoweza kuathirika, wakazi wote wanaelekezwa kufuata mara moja maelekezo ya sasa ya jimbo kuhusu afya ya umma, ambayo niliamuru idara ya afya umma kutengeneza kwa hali ya sasa ya kitaifa ya covid-19.

English

1) to preserve the public health and safety, and to ensure the healthcare delivery system is capable of serving all, and prioritizing those at the highest risk and vulnerability, all residents are directed to immediately heed the current state public health directives, which i ordered the department of public health to develop for the current statewide status of covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,790,480,791 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK