From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mafuta ya kasa
turmeric oil
Last Update: 2020-08-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuta ya samli
ghee
Last Update: 2020-09-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuta ya kupaka mwilini
gel
Last Update: 2022-04-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
madumu ya mafuta ya diesel
fuel permanent
Last Update: 2024-02-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuta ya ubuyu na faida zake
oil and its benefits
Last Update: 2024-10-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuta ya oktane 92 yamepanda kwa asilimia
92 octane gasoline, up by 40 per cent
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuta ya oktane 80 yamepanda kwa asilimia 78
80 octane gasoline, up by 78pc
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hebu nicheke, rais ameondioka na sasa mafuta ya ptroli yanapatikana!
lol the president is gone and now petrol is being found!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maeneo yenye rangi ya manjano ni mashamba makubwa ya mawese.
yellow areas are palm oil plantations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuta ya nywele huziweka nywele na unyevu .kujaa na kua ndefu.
hair oil keeps the hair and moisture full and long.
Last Update: 2023-08-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuta ya diseli yatatumika sana na yatahitajika sana kwa aina yoyote ile ya mawasiliano.
diesel is going to go fast and will be needed for any sort of communication.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hivi mnafahamu kwamba asilimia 70 ya uzalishaji wa mafuta ya sudani yako kusini?
did you know that 70% of sudan's oil production is located in the south.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uchomaji wa misitu ni unasemekana kusababishwa na shughuli za kilimo cha mashamba makubwa ya mafuta ya mawese, makubaliano ya uuzaji wa kuni, na mashamba ya mashapo.
the burning of forests is blamed on the operations of oil palm plantations, wood suppliers’ concessions, and pulpwood plantations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dr. buamah alisema kwa hiyo ilikuwa ni jambo linalotegemewa kwa vijana kutegemea unafuu wa nafasi za ajira baada ya kupatikana mafuta ya ghana.
dr. buamah said it was therefore normal for the youth to expect better employment prospects from ghana's oil find.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuta ya kulainisha ngozi hupendekezwa mara kwa mara ili kusaidia mikono kutokauka; ngozi iliyokauka inaweza kusababisha uharibifu wa ngozi unaoweza kusababisha ongezeko la hatari ya kusambaa kwa maambukizi.
moisturizing lotion is often recommended to keep the hands from drying out; dry skin can lead to skin damage which can increase the risk for the transmission of infection.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati kampuni ya mafuta ya uingereza tullow oil ilipotangaza uvumbuzi wake wa kiasi cha mapipa milioni 600 ya mafuta nchini ghana mwaka 2007, ulimwengu wa wanablogu uliitikia kwa maoni yanayotofautina juu ya matumaini na hali ya kuchelea.
when uk firm tullow oil announced its discovery of 600 million barrels of oil in ghana in 2007, the blogosphere responded with variegated tones of hope and cynicism.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mnamo saa tarehe 13 novemba,uamuzi wa serikali ya mtaa ya chengdu wa kutumia mabavu ili kuvunja jengo moja binafsi ulisababisha kujiua kwa mmoja wa wamiliki aliyejulikana kwa jina la tang fuzhen, ambaye alijimiminia mafuta ya petroli na kujiwasha moto.
on 13 november this year, the forcible demolition of a private building, ordered by the chengdu local government, led to the suicide of one of its owners, tang fuzhen, who poured gasoline and set fire on herself.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nilipokuwa nataka kutoka ndani, mara niliona meza ya kujipodolea ikitikisika, makabati ya jikoni yakitetemeka huku vitu vilivyo ndani vikidondoka chini, wakati huohuo nyumba ilikuwa ikichezacheza utadhani imetengenezwa kwa kitu laini mfano wa mafuta ya mgando.
on my way out, i saw our dresser moving, the kitchen cabinets shake and spit out all sorts of cans, and the house moving as if it was made out of jello.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kampuni ya kifaransa ya utibuji wa maji, ijulikanayo kama veolia, na wasambazaji wakuu wa maji jijini lanzhou, ililiambia shirika la habari la serikali la xinhua kuwa, benzini iliyopo kwenye maji imetoka kwenye viwanda vya uchimbaji na usafishaji wa mafuta ya asili.
french water treatment company veolia, the main water supplier in lanzhou, told state-run xinhua news agency that the polluted water might be caused by local petrochemical companies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rais john evans atta mills siku ya alhamisi aliikumbusha kampuni ya kosmos energy, moja ya makampuni yanayohusika na upatikananji wa mafuta ya taifa kwenye maeneo ya jubilee ya cape three points, kuwa werevu wa kijamii, kisheria na wajibu kibiashara ili kwamba watu wa mahali hapo waweze kuwa sehemu ya mchakato na kupata faida.
president john evans atta mills on thursday reminded kosmos energy, one of the companies involved in the nation’s oil find in the jubilee fields of cape three points, to be mindful of social, legal and corporate responsibilities so that local people would be part of the process and feel its benefits.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: