Results for magereza translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

askari magereza

English

askari magereza

Last Update: 2020-09-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

magereza hayatatosha.

English

prisons will not be enough.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

waziri wa huduma za magereza ngconde balfour;

English

minister of correctional services ngconde balfour;

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

utaratibu huu unatumika kwa magereza yote nchini ethiopia.

English

this ritual is common throughout the prison system in ethiopia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ujauzito na magereza: afya na haki za wanawake magerezani

English

pregnancy and prisons: women's health and rights behind bars · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

brazil: mfumo wa kimarekani wa magereza wenye mapungufu

English

brazil: the deficient prison systems of the americas

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

magereza yaliripotiwa kuwa na msongamano mkubwa na asilimia 45 kwa wastani.

English

prisons were reported to be overcrowded by 45 per cent on average.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watoto hawahusishwi kwenye magereza yote isipokuwa mawili tu nchini marekani.

English

children are excluded from all but a couple of us prisons.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

leopold sudaryono anakabiliana na tatizo la msongamano wa magereza nchini indonesia.

English

leopold sudaryono tackles the problem of prison overcrowding in indonesia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alama ishara zinazodai kuachiliwa kwao huru kutoka kwenye magereza ya bahrain na misri zilitawala mtandao wa twita.

English

hashtags demanding their release from prison in bahrain and egypt were trending on twitter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa nini mfumo wa magereza nchini marekani hauruhusu, kwa ujumla, wanawake wenye watoto kubaki nao?

English

why does the us correctional system not generally allow women with babies to keep them?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je, kuna tofauti kati ya wanawake wanaotumikia kifungo kwenye magereza (ya mafunzo) na wale wanaoishi nje?

English

is there a difference between mothers serving terms in correctional facilities and those outside?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amer daoud pamoja na mke wake raghda hassan kwa mara ya kwanza walikutana na kuwa wapenzi wakiwa kama wafungwa wa kiasiasa kwenye seli za magereza ya syria takribani miaka 15 iliyopita.

English

amer daoud and his wife raghda hassan first met and fell in love as political prisoners in the cells of a syrian prison 15 years ago.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika russia today, idhaa ya matangazo ya kirusi, mada hii inatajwa panapojadiliwa suala la watoto kuzaliwa na kulelewa katika mfumo wa magereza wa kirusi:

English

in russia today, a russian broadcasting channel, the subject is mentioned when discussing children born and raised in the russian correctional system:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika picha hiyo, askari magereza wanaonekana wakishughulika kumsaidia mpiga picha za video kufanya kazi hiyo, kiasi hata cha kumusaidia kufunika tundu la ufunguo katika mlango wa kuingilia eneo hilo.

English

in the video, prison guards are actively helping the cameraman to shoot the film, even holding back a keyhole cover into the room for him.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika miaka ya karibuni, jamhuri hii ya kiislamu imetumia nguvu kuvunjilia mbali ulimwengu wa blogu, na wapo wanablogu kadha kwenye magereza ya irani akiwemo mwanaharakati wa haki za binadamu shiva nazar ahari.

English

the islamic republic has cracked down on the blogosphere in recent years, and there are several other bloggers sentenced to prison in iran including human rights activist shiva nazar ahari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo, wanawake wajawazito au wanawake wenye watoto wenye umri wa chini ya miaka 3 huambiwa kuhusiana na kuingia kwenye magereza kuwa si vizuri kwa mtoto kukualia gerezani, na hupewa uchaguzi wa kumpeleka mtoto kwa wanafamilia wengine.

English

thus, pregnant women or women with children under 3 are told upon entry to the prison that it isn't good for the child to grow up behind bars, and options are given for them to send the child off to family members.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu ambao wamenyimwa uhuru kama adhabu ya makosa yao wanapaswa kuhakikishiwa angalau hali za maisha ya kawaida, na wakati mwingine haya hayapatikani kama inavyooneshwa katika masimulizi ya kina maisha ya magereza ya brazili, , yanayotoa suluhisho kwa kwa hali hii ngumu.

English

people who are being deprived of their liberty as punishment for their crimes should be guaranteed minimum living conditions, and sometimes these aren't met, as shown in the documentary of life in brazilian prisons, which also provides possible solutions for this difficult situation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

insha ya atwood kwenye wavuti ya amnesty international inaonyesha mambo mawili, sehemu inayohusu taratibu za kujifungua huku umefungwa minyororo kama yalivyoelezwa kwenye mtoto wa vanessa na pia inaonyesha jambo jingine kuhusu mfumo wa magereza na umama, kwa kutumia picha za wanawake wakati mpigapicha akisoma insha kuhusu uzoefu wake wa kutembelea magereza huku akipiga picha.

English

the atwood documentary in the amnesty international site features both a section on the process of giving birth in shackless as told in vanessa's baby and another on prison systems and motherhood, with fotographs of the women while the photographer reads an essay on her experiences visiting the prisons and taking the pictures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

idara ya magereza ya ukraine, hata hivyo, ilitoa tamko kupitia taarifa kwa vyombo vya habari mnamo tarehe 2 aprili, inayosomeka kama "njia ya kupuuzia" ujumbe kama ule wa usov:

English

the state penitentiary service of ukraine, however, issued a statement through its press service on april 2, which reads like a "preemptive strike" type of message to journalists like usov:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,891,437,398 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK