From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa nini tusiwaruhusu tu wale mahujaji wa kwanza wake kwa waume kuhudhuria omra na hija.
in such circumstances why not to limit omra and pilgrimage for the first time pilgrims only from men and women
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sheria hizo pamoja na kutiliwa mkazo kwa mchujo wa kiafya kwa mahujaji unaelezwa kuweza kusaidia kuwalinda mahujaji.
quarantines and strict enforcement of medical screening can protect pilgrims and that might be enough.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
eid al adha ama sherehe ya kutambika inahitimisha msimu wa hajj, ambao, mwaka huu umewakutanisha mahujaji milioni 2 kutoka nchi mbali mbali duniani.
eid al adha or the festival of sacrifice culminates the hajj season, which this year attracted 2 million pilgrims from around the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni kuelekea karne ya 19 ndipo ambapo sheria za kutenga wagonjwa zilianza kutumika ili kukomesha ueneaji wa magonjwa katika eneo hilo takatifu, hadi manyumbani mwa mahujaji.
only toward the end of the 19th c. did strictly enforced quarantines work to stop the spread of diseases out of the region, back to the homes of the pilgrims.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je, mnafanya kuwanywesha maji mahujaji na kuamirisha msikiti mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini mwenyezi mungu, na siku ya mwisho, na akapigana jihadi katika njia ya mwenyezi mungu?
count ye the slaking of a pilgrim's thirst and tendance of the inviolable place of worship as (equal to the worth of) him who believeth in allah and the last day, and striveth in the way of allah?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanablogu wa kimisri zeinobia, anayeblogu kupitia blogu ya egyptian chronicles, kadhalika anaguswa na jinsi ugonjwa utakavyosambaa wakati wa haji , ambapo mamilioni ya mahujaji kutoka sehemu mbalimbali duniani hukusanyika maka ili kutimiza nguzo hiyo.
egyptian blogger zeinobia, who blogs at egyptian chronicles, is also concerned about how the disease will spread during the hajj , where millions of pilgrims from around the world converge to mecca to perform the ritual.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ahhh..mafua ya nguruwe pamoja na nadharia zote za njama zinazoambatana nayo… “mwanasayansi” wa kijordani bingwa wa magonjwa anadai kuwa maka na madina ziko mbali na ugonjwa huo, kwa hiyo hakuna haja ya kuzungumzia uwezekano wa mlipuko ambao unaweza kutokea kutokana na mamilioni ya mahujaji kuwa karibu karibu wakati wa hija… uweni nguruwe…nendeni kwenye hija…na mtakuwa mbali na ugonjwa…
ahhh..the swine-flu with all the accompanying conspiracy theories..a jordanian “scientist” specializing in diseases claims that mecca and medina are somehow isolated from disease, thus there is no need for the talk about the possible outbreaks that might result from the millions of pilgrims being in extreme proximity while performing hajj.. kill them pigs..go to hajj..you will be disease free..
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: