From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
vipi kuhusu mahusiano ya mapenzi
there is no love affair
Last Update: 2025-02-07
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa matumizi yasiyo ya kibiashara.
non-commercial use.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
president correa ana mahusiano ya karibu sana na vyombo vya habari nchini humo.
president correa has a tense relationship with the media in the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunatarajia kwamba mkutano huu utasaidia kuwezesha mahusiano ya kirafiki baina ya marafiki.
we hope that this meetup will help facilitate connections.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kazi iliyokuwa ikifanywa na idara ya mahusiano ya umma ya serikali ya zambia haikupita hivi hivi.
the zambian government's curious public relations hasn't gone unnoticed on social media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunaanzisha mijadala ya kihabari inayojenga madaraja, uelewa wa masuala ya kidunia na mahusiano ya kirafiki.
we set a news agenda that builds bridges, global understanding and friendship across borders.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mahusiano ya kidiplomasia na afrika kusini yamekuwa mabaya kufuatia mauaji ya kisiasa ya wapinzani waliokuwa nchini humo.
diplomatic relations with south africa are strained following assassinations of opposition members in that country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
unajua mahusiano ya watu, haiwezekani kuwa na kundi kubwa la watu ambalo unaweza kujenga kuaminiana kweli ndani yake.
you know the dynamics of human relationships, it is impossible to have a large company of people that you can develop deep trust.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
offbeat china alieleza kwa nini wanawake hao wana hasira na jinsi kombe la dunia linavyoharibu mahusiano ya kifamilia nchini china.
offbeat china explained why women are so angry and how the world cup has destroyed relationships in china.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, wapo watu wengi wanaotilia mashaka zoezi hili, wakiona kuwa si chochote zaidi ya jitihada za mahusiano ya umma.
however, many others are wary of the exercise, seeing it as nothing more than a public relations endeavour.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chini ya maandalizi ya asasi isiyo ya kibiashara the world toilet organisation, siku ya vyoo duniani inasherehekewa dunia nzima kwa matukio mbalimbali.
organized by the nonprofit the world toilet organization, world toilet day is being celebrated globally with various events.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini wanunuzi walipokosekana, aligeukia mpango mbadala: kuanzisha shirika la ndege na kuziingiza ndege zake katika matumizi ya kibiashara.
but when no buyers were forthcoming, he turned to plan b: to set up dominion air and put the jets to commercial use.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo jingine ni kuwa, nilikuwa na mtizamo hasi kuwa mahusiano ya amani kati ya watu wa rangi tofauti ni sehemu ya maisha yetu kiasi kwamba hatuhitaji kulifuatilia kabisa.
for another, i had had the wrong assumption that harmonious race relations are so much a part of us that we don't need to work at it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
matishio haya yanajumuisha: dhana mpya wa haki za binadamu inayozipa nafasi tabia za mahusiano ya jinsia moja na tabia za kujibadilisha jinsia kuwa makundi ya watu yanayolindwa kisheria.
these threats include: redefining human rights to elevate homosexual and transgender behavior as legally protected categories of people.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
uwezekano wa kutengana na kuachana katika mahusiano ya kishoga pia yanasababisha mazingira yasiyoaminika kwa watoto wanaolelewa na mashoga kwa kuasili ama vinginevyo, na yanaweza kuwa na matokeo mabaya kisaikolojia kwa watoto hao.
the higher incidence of separation and break-up in homosexual relationships also creates a highly unstable environment for children raised by homosexuals through adoption or otherwise, and can have profound psychological consequences on those children.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
likiwa na idadi ya watu wapatao milioni 20, lagos ndilo jiji kubwa la watu weusi duniani na inasemekana ni kitovu cha bara la afrika na makazi ya makampuni makubwa ya kibiashara na kiteknolojia katika bara la afrika.
with a population of over 20m lagos is the largest black city in the world and is arguably the epicenter of the continent and home to the powerhouses of africa’s creative, business and tech communities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jawabu liko kwenye umuhimu wa ujamaa, bila kuuelewa sisi ni wa kushindwa: ujamaa ni msingi wa upendo, mahusiano ya kindugu, hisia za kuwa sehemu ya jamii.
the answer lies in the essence of socialism, without understanding it we are destined to fail: socialism is the essence of love, of fraternal relationships, of the sense of belonging to society.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, jaribio la hatari zaidi lililofanywa na idara ya mahusiano ya umma ya rais ni picha ya rais sata akimwapisha mkuu wa masuala ya kisheria wa serikali musa mwenye ambaye alithibitishwa na bunge kwa nafasi ya mwanasheria mkuu wa serikali lakini hajaapishwa majuma kadhaa.
however, the most disastrous public relations stunt that spectacularly backfired was the picture of president sata swearing in then solicitor general musa mwenye who had been ratified by parliament for the position of attorney-general but had been unsworn for weeks on end.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
gerard henderson, mkurugenzi mtendaji wa the sydney institute, anabashiri matokeo ya chini-chini katika mahusiano ya kisiasa katika kanda hii kwenye makala ya maoni ya gazeti la sydney morning herald :
gerard henderson, executive director of the sydney institute, speculates on the geopolitical undertones in an opinion piece for the sydney morning herald :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika kuonyesha kuwa mada hii imo kwenye kichwa kwa rais rouhani, ameripotiwa kuyaomba mashirika mawili ya kura ya maoni "kutafiti" kile wa-irani wanachofikiri kuhusu mahusiano ya marekani na irani.
as an indication that this topic also on president rouhani's mind, he has reportedly asked two polling organizations to "find out" what iranians think about usa-iran relations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting