Results for majivu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

jumatano ya majivu

English

ashes

Last Update: 2022-03-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunapaka majivu hapa ni wapi

English

we're close to where we are

Last Update: 2023-07-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya muda huu, mwili wa mfalme utachomwa hadi kuwa majivu kulingana na mila na desturi za budha.

English

after this period, the king's body will be cremated according to buddhism ritual.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu waliokuwa najisi kidini waliweza kutakasika na kuwa safi waliponyunyiziwa damu ya mbuzi na ya ng'ombe pamoja na majivu ya ndama.

English

for if the blood of bulls and of goats, and the ashes of an heifer sprinkling the unclean, sanctifieth to the purifying of the flesh:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

moto huo uliunguza karibu kila kitu chenye thamani na wakati wazima moto walipomaliza kuuzima moto huo; kila kitu kilikuwa ni majivu isipokuwa kuta za zege na nguzo.

English

the fire burnt nearly every valuable item and by the time the fire service personnel were done putting out the inferno; everything was down to ashes except the concrete walls and pillars.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mugabe anasema itakuwa ni kosa kung’atuka” *brendah anajimwagia majivu kichwani, anavaa nguo ya gunia akiomboleza usiku kucha katika milango ya jiji*

English

mugabe says it would be wrong to step down” *brendah pours ashes on head, dons sack-cloth and spends night wailing at city gates*

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"ole wako korazini! ole wako bethsaida! maana, kama miujiza iliyofanyika kwako ingalifanyika kule tiro na sidoni, watu wake wangalikwisha vaa mavazi ya gunia na kujipaka majivu zamani, ili kuonyesha kwamba wametubu.

English

woe unto thee, chorazin! woe unto thee, bethsaida! for if the mighty works, which were done in you, had been done in tyre and sidon, they would have repented long ago in sackcloth and ashes.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,899,344,771 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK