From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na yeye ndiye aliyeizuia mikono yao kwenu, na mikono yenu kwao, katika bonde la makka baada ya kukupeni ushindi juu yao.
and he it is who has withheld their hands from you and your hands from them in the midst of makkah, after he had made you victors over them.
na yeye ndiye aliyeizuia mikono yao kwenu, na mikono yenu kwao, katika bonde la makka baada ya kukupeni ushindi juu yao. na mwenyezi mungu ni mwenye kuyaona myatendayo.
and he it is who held back their hands from you and your hands from them in the valley of mecca after he had given you victory over them; and allah is seeing what you do.
msivunje hishima ya alama ya dini ya mwenyezi mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea nyumba takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za mola wao mlezi.
do not violate allah’s sacraments, neither the sacred month, nor the offering, nor the necklaces, nor those bound for the sacred house, who seek their lord’s grace and [his] pleasure.
enyi mlio amini! msivunje hishima ya alama ya dini ya mwenyezi mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea nyumba takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za mola wao mlezi.
believers, do not disrespect the reminders of god, the sacred months, the animals brought for sacrifice, or what is marked for sacrificial offering or the people heading to the precinct of the sacred house to seek the favor and pleasure of their lord.