Results for malagasi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

malagasi

English

malagasy

Last Update: 2020-03-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuufanya uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja kuwasaidia watu wa malagasi

English

making fdi work for malagasy people

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mradi wa lingua wa global voices katika lugha ya ki-malagasi

English

lingua project global voices in malagasy

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watoto wa malagasi wamesubiri kwa miaka 50 ili kupata mustakabali wa afya yao katika vipau mbele muhimu vya taifa.

English

the malagasy children have waited 50 years for their collective health to be at the top of the national agenda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tovuti ya ki-malagasi iitwayo madatsara imetengeneza tovuti utakayotumika kama majukwaa ya kuwapima wagombea wote wa urais .

English

malagasy website madatsara created a comparison website to review every presidential candidates platforms .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mradi wa lingua wa global voices katika lugha ya ki-malagasi umechapisha mtandaoni posti yake ya 5,000.

English

lingua project global voices in malagasy has just published its 5,000th post.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa kuongeza, mji mkuu wa antananrivo na majiji mengine yamekuwa yakikabiliwa na ukosefu wa maji na nishati ya umeme mambo yaliyochochea vurugu na ghadhabu miongoni mwa raia wa malagasi.

English

additionally, the capital city antananarivo and other cities are currently experiencing frequent running water and power outages that have provoked frustration and outrage among malagasy citizens.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilaym, mwanablogu anayeishi antananarivo anayeandikia blogu ya dailymg, anaeleza kwa nini wa-malagasi wako kwenye hatari ya maambukizi ya virusi vya ebola.

English

ilaym, an antananarivo-based blogger for the dailymg, explains why malagasy people are specifically vulnerable to an ebola outbreak.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati madagaska ikijaribu kutafuta suluhisho la matatizo ya muda mrefu ya kiasa, wanablogu wa ki-malagasi wanajadili thamani ya uwekezaji unaofanywa moja kwa moja na raia wa kigeni.

English

while madagascar attempts to find a way out of a prolonged political crisis, malagasy bloggers are discussing the value of foreign direct investment (fdi).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sasa mradi huo unaendeshwa na watafsiri wa ki-malagasi wapatao 16 miongoni mwao akiwamo mmoja wa watafsiri wadogo kabisa wa global voices , mwenye umri wa miaka 16 aitwaye radifera felana candy.

English

there are currently 16 active malagasy translators, among them is one of the youngest global voices translator, 16-year-old radifera felana candy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

le mouvement des citoyens malagasy de paris mcm (muungano wa raia wa ki-malagasi waishio paris) kadhalika haukuelewa nani wa kumwamini kuhusiana na hatari ya mlipuko wa ebola nchini madagaska: waziri mkuu kolo anayedai hakuna hatari yoyote au wanasayansi watafiti wanaoijumuisha madagaska kwenye mataifa yenye hatari?

English

le mouvement des citoyens malagasy de paris mcm (the coalition of malagasy citizens in paris) also wonders whom to believe regarding the risk of an ebola outbreak in madagascar: the prime minister kolo who says the risks are minimal or the research scientists who included madagascar in the nations at risk?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,780,963,417 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK