Results for malala translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuadhimisha siku ya malala

English

celebrating malala day

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@soumyasinghs: #pakistanyaadhimisha siku ya malala...

English

@soumyasinghs: #pakistan marks malala day..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanachama wa vuguvugu la mqm likisherehekea siku ya malala.

English

mqm celebrating malala day.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sababu kwa nini zawadi ya nobel itunukiwe kwa malala imeelezwa waziwazi:

English

the reason why a nobel prize must be presented to malala is stated here:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maelfu watia saini pendekezo la zawadi ya nobel na kusherehekea siku ya malala

English

thousands celebrate malala day & sign nobel peace prize petition · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

neno ufunguo la #malala kwenye twita limesambazwa na zaidi ya watu elfu tano.

English

the #malala hashtag has been shared by more than five thousand people over twitter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maoni yangu, malala ni kama mwale wa mwanga na matumaini kwa nchi ya pakistani.

English

in my view malala is the ray of light and hope for pakistan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

umoja wa mataifa umetangaza kuisherehekea tarehe 10 novemba (jumamosi) kama siku ya malala.

English

the united nations has announced celebrating november 10 (saturday) as malala day.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ali salman alvi alitoa maoni kwamba watetezi wa magaidi wamekuwa wakijaribu kupuuzia kitendo cha kishujaa cha malala:

English

ali salman alvi comments that the terrorist apologists are trying to belittle malala's act of valour:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini katika mji anakotokea malala hakuna shughuli za nje ya nyumba zilizofanyika yote kwa sababu ya kuhofia uwezekano wa shambulizi la kigaidi.

English

but in malala's hometown open house events couldn't be organized out of fear of possible terrorist attacks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ili kuonyesha upendo wake kwa malala, msichana mwenye miaka 11, bushra siddique, anaandika kwenye blogu yake:

English

for to express her love for malala, 11 year-old girl, bushra siddique, writes on her blog:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@sufisal: “kuielimisha akili bila kuuelimisha moyo ni kazi bure.” ― aristotle#malala day

English

@sufisal: “educating the mind without educating the heart is no education at all.” ― aristotle#malala day

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kumetolewa pendekezo na mwanamke mmoja raia wa uingereza mwenye asili ya pakistani anayeishi katika jiji la birmingham, shaida choudry, kumpendekeza malala yousufzai kutunukiwa tuzo ya nobel.

English

a petition has been placed by a pakistani-british woman living in birmingham, shaida choudry, to nominate malala yousufzai for a nobel peace prize.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vuguvugu la mqm (muttahida quami movement) lilisherehekea rasmi siku ya malala katika kituo chao cha kisiasa kinachoitwa nine-zero:

English

political party mqm (muttahida quami movement) officially celebrated malala day at their headquarters in karachi called nine-zero:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kainat - rafiki yake malala waliyekuwa pamoja wakati shambulio lilipotokea — alisema — kwamba bado ana woga mwingi mno na hulia sana kila mara anapolikumbuka.

English

kainat - malala's friend who was with her during the attack- said that she's still terrified and cries whenever that incident comes in her mind.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@alisalmanalvi: kwenye mitandao ya kijamii ilikuwa ni malala akipambana na al-qaeda na wapambe wao (watetezi wa kundi hilo la magaidi) katika siku ya malala. #pakistan

English

@alisalmanalvi: on social media it was malala vs al-qaeda & co (its apologists) on malala day. #pakistan

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,884,425,249 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK