Results for malumbano translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

malumbano

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

katika kutoa majibu, wenye nguvu katika sekta ya utamaduni walishutumu kuwa kuna uchujaji katika malumbano haya.

English

in response, france's cultural establishment has thrown accusations of censorship into the debate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

itakuwaje kama mke atamtelekeza mume na kisha kumfungulia mashitaka ya kushishwa kutoa huduma za muhimu je sheria hii italeta malumbano ya mapato kati ya wake na waume zao?

English

will this law create new financial skirmishes between wives and husbands?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku chache kabla ya uchaguzi nchini kenya mwaka 2007, tulikuwa na hali inayofanana na hiyo ambapo matokeo ya tafiti za kura za maoni ziliibua malumbano ya chuki, madai na pingamizi za madai kwamba matokeo yalikuwa yamechakachuliwa vilivyotegemea tu ni nani na ni chama gani kilipendelewa zaidi au kilipuuzwa katika kura za maoni.

English

in the run-up to the kenyan elections in 2007, we had a similar scenario where opinion polls became the centre of vicious debates, claims and counter claims of doctored results depending on who or which party was favored or dismissed by the polls.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati wa kuelekea pambano la jumamosi, mashabiki washindani wamekuwa wakijiandaa nje ya mtandao wa intaneti, kadhalika katika malumbano makali ya mtandaoni, ambayo yamekua na kugeuka “vita-vya-mikwara-kwenye-mtandao”

English

ahead of the saturday showdown, rival fans have been gearing up offline, as well as in heated online exchanges, escalating into a bitter "cyber-war" of intimidation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,724,640,970 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK