From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
akawafafanulia mambo yote yaliyomhusu yeye katika maandiko matakatifu kuanzia mose hadi manabii wote.
and beginning at moses and all the prophets, he expounded unto them in all the scriptures the things concerning himself.
sema: mbona mliwauwa manabii wa mwenyezi mungu hapo zamani ikiwa kweli mlikuwa waumini?
say (o muhammad peace be upon him to them): "why then have you killed the prophets of allah aforetime, if you indeed have been believers?"
mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watu wa mungu na damu ya watu wote waliouawa duniani.
and in her was found the blood of prophets, and of saints, and of all that were slain upon the earth.
wala hatakuamrisheni kuwafanya malaika na manabii kuwa ni miungu. je, atakuamrisheni ukafiri baada ya kuwa nyinyi waislamu?
and neither would he enjoin you that you should take the angels and the prophets for lords; what! would he enjoin you with unbelief after you are muslims?
hakika, manabii na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona ninyi wasiyaone, na kusikia yale mnayoyasikia wasiyasikie."
for i tell you, that many prophets and kings have desired to see those things which ye see, and have not seen them; and to hear those things which ye hear, and have not heard them.
"ole wenu walimu wa sheria na mafarisayo, wanafiki! mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya watu wema.
woe unto you, scribes and pharisees, hypocrites! because ye build the tombs of the prophets, and garnish the sepulchres of the righteous,
akahamia katika mji uitwao nazareti. ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: "ataitwa mnazare."
and he came and dwelt in a city called nazareth: that it might be fulfilled which was spoken by the prophets, he shall be called a nazarene.